Upo sahihi kabisa, mtoa mada amechanganya tarehe za kesi mbili tofauti.Mleta mada anatudanganya Tofautisha kesi ile ya Rufani iliyosomwa leo Mahakama kuu na hiyo unayoisema mleta mada ya tarehe 31/05/2022, Mbele ya Mh. Kisinda ya Uhujumu uchumi.
Ungekuwa na hoja kama kesi ya Rufani Mahakama kuu ilikua isomwe tarehe 31/05/2022 lakini ikisomwa leo jambo ambalo si kweli.
You are misinformed and misleading people.
Siasa kila mahali mpaka kwenye tarehe za kesi.Upo sahihi kabisa, mtoa mada amechanganya tarehe za kesi mbili tofauti.
Ng'oo,hatutamkumbukaAlaaniwe aliyesababisha utofauti wa Bei ya mafuta Kati ya ZANZIBAR na Tanganyika,Narudia tena ALAANIWE.
Siyo Muda mrefu tutamkumbuka JPM.
Alaaniwe aliyesababisha utofauti wa Bei ya mafuta Kati ya ZANZIBAR na Tanganyika,Narudia tena ALAANIWE.
Siyo Muda mrefu tutamkumbuka JPM.
Kwa kweli inatisha Sana1 Litre of Petrol
1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5
Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162
Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta𤣠Tanzania nchi yaanguu..!
BloodyfuckinZaidi ya Watanzania asilimia 90 hawamjui Sabaya, na hata tunaomjua, kushinda rufaa si issue kwetu ya kujadili sana maana alibambikiwa kesi na chadema na kutengeneza mashahidi wa uongo na leo wameumbuka. Issue ya mafuta iko pale pale
GT...Najua kuwa hii hukumu imekuja ghafla, kwa kuwa wananchi walikuwa wameshatangaziwa hapo kabla kuwa hukumu hiyo ya rufaa, ilikuwa imepangwa kutolewa tarehe 31 mwezi huu.
Sasa ninachojiuliza, ni kitu gani kilichofanya Mahakama irudishe nyuma,na kutoa hukumu, kabla ya tarehe ambayo ilikuwa imepangwa?
Timezoea kwa Mahakama zetu kusogeza mbele tarehe ya kutoa hukumu, hata zaidi ya mara moja.
Sasa ni kitu gani kilichosababosha hukumu ya Sabaya irudishwe nyuma, kitendo ambacho hukijazoeleka?
Pengine yasemwayo mitaani, tunaweza kuanza kuyaamini, kuwa hukumu ya Sabaya imerudishwa nyuma, Ili kuweza kuzima mjadala moto kweli kweli wa upandishwaji wa bei ya mafuta, ambao umeleta taharuki kubwa nchi nzima.
Ni 3500Kwa kweli inashangaza.
Inakuwaje Katika nchi moja, upande mmoja wa Muungano Zanzibar, wauze Petroli kwa shilingi 2,600
Huku Tanganyika tukiumizwa kwa bei isiyopungua 3,100?
Alaaniwe aliyesababisha utofauti wa Bei ya mafuta Kati ya ZANZIBAR na Tanganyika,Narudia tena ALAANIWE.
Siyo Muda mrefu tutamkumbuka JPM.
Mbombo ngafu1 Litre of Petrol
1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5
Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162
Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania nchi yaanguu..!
RAIS WETU TUNAKUUNGA KWELI MKONO LAKINI HAPA UMETELEZA,AU WAPO WENYE NIA OVU NA WEWE,WANAKUJENGEA UBAYA ILI TUKUCHUKIE TAFAKARI SANA HILI NA KULITOLEA MAAMUZI MAPEMA,PANDISHENI BEI POMBE,SIGARA NA VINGINE VISIVYO VYA LAZIMA KWA MWANADAMU.Kwa kweli inashangaza.
Inakuwaje Katika nchi moja, upande mmoja wa Muungano Zanzibar, wauze Petroli kwa shilingi 2,600
Huku Tanganyika tukiumizwa kwa bei isiyopungua 3,100?