Je, hukumu ya Sabaya imetolewa ili kuzima malalamiko ya mamilioni ya Watanzania kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta?

Je, hukumu ya Sabaya imetolewa ili kuzima malalamiko ya mamilioni ya Watanzania kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta?

Mleta mada anatudanganya Tofautisha kesi ile ya Rufani iliyosomwa leo Mahakama kuu na hiyo unayoisema mleta mada ya tarehe 31/05/2022, Mbele ya Mh. Kisinda ya Uhujumu uchumi.

Ungekuwa na hoja kama kesi ya Rufani Mahakama kuu ilikua isomwe tarehe 31/05/2022 lakini ikisomwa leo jambo ambalo si kweli.

You are misinformed and misleading people.
Upo sahihi kabisa, mtoa mada amechanganya tarehe za kesi mbili tofauti.
 
Nimeona ndugu zake wanalia sn.Wamkanye mtoto wao,na wamfunde suala la kuumiza watu na kuwapa vilema.Kwanza akitoka aombe radhi na akome kutafuta vyeo kwa kuumiza watu.

Kama wanafanya mchongo atoke,basi saa hii huku uraiani atakutana na "asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu"
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
Kwa kweli inatisha Sana

Huo mlolongo wa kodi uliouorofhesha, hakika watawala wetu hawamwabudu huyu Mungu wetu, kwa unyama huu wa kumbebesha mzigo mkubwa mwananchi masikini kwa kiasi hicho, huku wenyewe wakiwa wanatembelea mavi-eite....,......

Hakika laana itawapata
 
Staged event to remove the inflation and high cost of living debucle from the headlines.
 
Zaidi ya Watanzania asilimia 90 hawamjui Sabaya, na hata tunaomjua, kushinda rufaa si issue kwetu ya kujadili sana maana alibambikiwa kesi na chadema na kutengeneza mashahidi wa uongo na leo wameumbuka. Issue ya mafuta iko pale pale
Bloodyfuckin
 
Najua kuwa hii hukumu imekuja ghafla, kwa kuwa wananchi walikuwa wameshatangaziwa hapo kabla kuwa hukumu hiyo ya rufaa, ilikuwa imepangwa kutolewa tarehe 31 mwezi huu.

Sasa ninachojiuliza, ni kitu gani kilichofanya Mahakama irudishe nyuma,na kutoa hukumu, kabla ya tarehe ambayo ilikuwa imepangwa?

Timezoea kwa Mahakama zetu kusogeza mbele tarehe ya kutoa hukumu, hata zaidi ya mara moja.

Sasa ni kitu gani kilichosababosha hukumu ya Sabaya irudishwe nyuma, kitendo ambacho hukijazoeleka?

Pengine yasemwayo mitaani, tunaweza kuanza kuyaamini, kuwa hukumu ya Sabaya imerudishwa nyuma, Ili kuweza kuzima mjadala moto kweli kweli wa upandishwaji wa bei ya mafuta, ambao umeleta taharuki kubwa nchi nzima.
GT...
 
Kwa kweli inashangaza.

Inakuwaje Katika nchi moja, upande mmoja wa Muungano Zanzibar, wauze Petroli kwa shilingi 2,600

Huku Tanganyika tukiumizwa kwa bei isiyopungua 3,100?
Ni 3500
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania nchi yaanguu..!
Mbombo ngafu
 
Kwa kweli inashangaza.

Inakuwaje Katika nchi moja, upande mmoja wa Muungano Zanzibar, wauze Petroli kwa shilingi 2,600

Huku Tanganyika tukiumizwa kwa bei isiyopungua 3,100?
RAIS WETU TUNAKUUNGA KWELI MKONO LAKINI HAPA UMETELEZA,AU WAPO WENYE NIA OVU NA WEWE,WANAKUJENGEA UBAYA ILI TUKUCHUKIE TAFAKARI SANA HILI NA KULITOLEA MAAMUZI MAPEMA,PANDISHENI BEI POMBE,SIGARA NA VINGINE VISIVYO VYA LAZIMA KWA MWANADAMU.
JAPO WANAKUFANYIA MAKUSUDI LAKINI SISI BADO TUNAKUPENDA SANA,#SSH_2040.
 
Back
Top Bottom