FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy.
Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na matengenezo, baadae wakasema ukame, mvua ziliponyesha wakasema maboresho ya gesi kwa siku 10, baadae wakasema sijui waya za umeme Ubungo zipo karibu sijui zinagusana na kuleta shoti, nk. nk.
Kibaya zaidi, waziri huyu amekuwa akijaribu kuleta hoja kwamba kuna watu wanamchukia, kuna watu wanamuonea wivu, hoja za kijinga kabisa, ajibu hoja za msingi, kwamba iweje baada ya kuingia tu yeye ghafla watoto wa wafanyakazi wa Tanesco wakaanza kuchezea switch kila siku? Ajibu hoja hizo na sio ku pre-empt kwamba anachukiwa, hapana, ajibu hoja!
Na hata hoja zake kwa mambo mengine ya kawaida kabisa zinasikitisha, imagine mtu anakwambia Tanzania hakuna crane la kubeba uzito wa tani 26, yaani milango iliyobebwa toka bandarini hadi Rufiji na ikashushwa, ghafla hakuna winchi la kuibeba, anashindwa hata ku-reason kwamba hiyo milango ilishushwaje pale site in the 1st place, very low reasoning capacity; baadae waanakuja kubadili maelezo na kusema ni like la permanent, halafu wakiulizwa kwanini wanakodi mashine ambayo ni permanent wanashindwa kujibu, haya wakiulizwa hadi leo mwezi wa tatu huu hilo crane la tani 26 limefika wapi wanabaki kutoa macho tu, inakatisha tamaa kwa kweli.
Kama mtu analegalega kuna ubaya gani kumuweka pembeni, eti jamani, kwani lazima awepo hapo?! Sisi tumeshachoka, huu ni uhujumu uchumi!!