Je, huu mchezo wa kuwasha na kuzima switch za umeme kama mtoto anachezea, maana yake nini?

hakuna binadamu anapenda kuwasha na kuzima Umeme,,unajitrip,mzigo ukiwa Mkubwa,,
Wakati wa Kalemani kwanini hali haikuwa kama sasa hivi, kipindi cha Magu haya mambo mbona yalikuwa yanatokea kwa nadra sana tofauti na sasa?
 
Makamba na yule mwingine anajiita Maharage na wengine wengi tu kwenye sekta hii nyeti kitaifa ni janga la taifa. Umeme hauna nguvu kabisa humu majumbanj,sijui viwandani. Lakini kibaya zaidi ni huu utaratibu wa kuamua kukata umeme siku nzima bila hata kutoa taarifa wala kuomba radhi, Au washa zima kama mchezo wa kitoto. Inakera sana, hasa TRA wanapokuja na zile zao za kulipa kodi. Tanzania hii ni hoi kweli.
 
Makamba ndiye waziri tena wa nishati mnategemea nini?

Siku zao zinahesabika ni muda tu
 
Nilidhani ni huku mwisho wa dunia tu ndo mtoto anachezea switch kumbe hadi huko!
 
Naona Tanesco wanaendelea na mchezo wa kukata na kuwasha, kutwa mara tatu, jamani, tuko serious na uchumi wetu kweli?!
 
Mkuu FRANCIS DA DON
Binafsi nimesoma uzi wako wote na ninakubaliana na wewe over 100%.

Tatizo hapo kwenye uteuzi mama aliingizwa mkenge na Team Janja!

Akampa wizara @Kigogo14 sasa ni kama kigogo14 kajizatiti na team yake na inaelekea hata mama anawaogopa flani hivi.

Tunamsikia kupitia hotuba zake akisema anasikia minong'ono minong'ono huko mitaani na mitandaoni.
Sasa najiuliza hivi hii huwa haioni?

Mbona yenyewe haiongeleagi kama hiyo mingine anayoiona na kuijibu tena on time..kama ongezeko la bei na miradi kutokamilishwa kwa wakati?
 
Binafsi nahisi ulaji kwenye miradi ya gesi ndio kipaumbele cha hiyo team janja kwa sasa. Tukomae tu
 
Tanesco acheni huu mchezo please, mnau-cost sana uchumi wetu
 
Hali ya kukatika umeme hivyo hovyo inazidi kushamiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…