Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hivi kwa majibu kama haya, huwaga mnayafikiria akilini mwenu kupata majibu ya hivi au ni aina tu ya uchawa chawa wa kusapoti gavumenti?Akina myika mnatekana wenyewe kwa wenyewe, acheni uhuni
Wahalifu, jelaHizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Mwamba R&L anachanganya sn hata mpangilio ni shida lakini unaweza kuta hapo ana BachelorAndika vizuri ili uleweke
Hao ni UWT wasamehe mkuuHivi kwa majibu kama haya, huwaga mnayafikiria akilini mwenu kupata majibu ya hivi au ni aina tu ya uchawa chawa wa kusapoti gavumenti?
Mbowe na zitoo ni magenge ya waharifu na majambazi. Kika anayetishia uenyekiti wa mbowe au zitto basi anatekwa na kufa tu cheki beni saa 8 yupo wapi hahaha kwa ufupi nondo aanze na zito akizinduka kama ilivyo kwa lisu, mbowe katuma wauaji wamuue lisu na lisu anaujua ukweli kabisa ndiyo maana siku hizi ana mdis sana mboweHivi kwa majibu kama haya, huwaga mnayafikiria akilini mwenu kupata majibu ya hivi au ni aina tu ya uchawa chawa wa kusapoti gavumenti?
Utakua mtego wa kipumbavu na wa kitoto Sana Sana. Tuna Polisi wa ajabu mnoHizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
"Never interrupt your enemy when he is making a mistake." By NapoleonHizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Elimu ya hali juu kabisa na technologia ambayo mataifa yote duniani wameshindwa kutufikia na wanajifunza kwetu ni propaganda, utekaji, muuaji na unywaji wa pombe. Tumepiga hatua sana, tuko vizuri,, tujipigie makofi.Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Dogo nondo kasalimika baada ya gari ya watekaji kunaswa ikibadilishwa nambaHizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Kwani zito bado ni mwenyekiti?Mbowe na zitoo ni magenge ya waharifu na majambazi. Kika anayetishia uenyekiti wa mbowe au zitto basi anatekwa na kufa tu cheki beni saa 8 yupo wapi hahaha kwa ufupi nondo aanze na zito akizinduka kama ilivyo kwa lisu, mbowe katuma wauaji wamuue lisu na lisu anaujua ukweli kabisa ndiyo maana siku hizi ana mdis sana mbowe
..sasa watamfunga John Mnyika peke yake, au kuna wenzake?
..halafu Mnyika awe mtekaji?! mbona hana haiba hiyo? Si bora hata wangemsingizia Kigaila.
"Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera". !!!!!!!!!!Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Kwanza ni muoga sana kwa wanao mjua. Mwepesi sana kukimbia varangati..sasa watamfunga John Mnyika peke yake, au kuna wenzake?
..halafu Mnyika awe mtekaji?! mbona hana haiba hiyo? Si bora hata wangemsingizia Kigaila.
Kuhusu swala la kutekwa Aly kibao mnyika alijulishwa na familia ya Ally kibao baada ya kupigiwa simu na dereva wa Tashrifu ambaye yupo karibu na familia hiyo haya maswala yanakuwa na majibu ya hisia hisia kwasababu vyombo halisi vya uchunguzi havitoi wapi vimefikia aidha kwa nia nzuri au kwa mapenzi yao wenyewe.. Wapo wengi tu wametekwa na POLISI tu ndiyo tunaotegemea watupe ukweli wasipo tupatia ukweli kwa mda muafuka kila mtu anakua na dhana zake na hiyo ni kawaida kwa jambo lolote lakini mimi ninavyo jua kwa vyovyote vile POLISI watakuwa wamefikia atua fulani na wanaendelea na uchunguzi wao, Nondo amepatikana anaweza akatupatia picha ya watekaji nini walikuwa wanataka kwake ni maswali gani walimuhoji, kama ni yakisiasa, kibishara hata kimapenzi majibu yote anayo yeye, tuzidi kumuombea Mungu tu apone na awe na nguvu na afya yake iimarike.Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.