Tetesi: Je, huu mtego wa Tanpol dhidi ya John Mnyika utafanikiwa? Bado Mmoja TU kwa tetesi Kijana wetu anase na 2025 utakuwa mwaka wake wa MWISHO kisiasa

Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.

Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa

Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?

Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.

Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Wahalifu, jela
 
Hivi kwa majibu kama haya, huwaga mnayafikiria akilini mwenu kupata majibu ya hivi au ni aina tu ya uchawa chawa wa kusapoti gavumenti?
Mbowe na zitoo ni magenge ya waharifu na majambazi. Kika anayetishia uenyekiti wa mbowe au zitto basi anatekwa na kufa tu cheki beni saa 8 yupo wapi hahaha kwa ufupi nondo aanze na zito akizinduka kama ilivyo kwa lisu, mbowe katuma wauaji wamuue lisu na lisu anaujua ukweli kabisa ndiyo maana siku hizi ana mdis sana mbowe
 
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.

Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa

Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?

Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.

Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Utakua mtego wa kipumbavu na wa kitoto Sana Sana. Tuna Polisi wa ajabu mno
 
Sasa we huoni km hao tanpol ndo wa kuanza nao? Mnyika wameamua tu kumtumia ili kumuangushia jumba bovu...

Km wapelelezi wetu wana akili ilibid wakae meza moja na mnyika ili km akitumiwa tena taarifa waanze kuifatilia mara moja na si kumhusisha mzee wa watu km naye muhalifu.
 
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.

Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa

Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?

Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.

Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
"Never interrupt your enemy when he is making a mistake." By Napoleon
 
Elimu ya hali juu kabisa na technologia ambayo mataifa yote duniani wameshindwa kutufikia na wanajifunza kwetu ni propaganda, utekaji, muuaji na unywaji wa pombe. Tumepiga hatua sana, tuko vizuri,, tujipigie makofi.
 
D
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.

Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa

Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?

Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.

Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Dogo nondo kasalimika baada ya gari ya watekaji kunaswa ikibadilishwa namba
 
Mbowe na zitoo ni magenge ya waharifu na majambazi. Kika anayetishia uenyekiti wa mbowe au zitto basi anatekwa na kufa tu cheki beni saa 8 yupo wapi hahaha kwa ufupi nondo aanze na zito akizinduka kama ilivyo kwa lisu, mbowe katuma wauaji wamuue lisu na lisu anaujua ukweli kabisa ndiyo maana siku hizi ana mdis sana mbowe
Kwani zito bado ni mwenyekiti?
 
..sasa watamfunga John Mnyika peke yake, au kuna wenzake?

..halafu Mnyika awe mtekaji?! mbona hana haiba hiyo? Si bora hata wangemsingizia Kigaila.
 
Attachments

  • 1723627029684.jpg
    1723627029684.jpg
    202.6 KB · Views: 3
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.

Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa

Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?

Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.

Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
"Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera". !!!!!!!!!!
 
..sasa watamfunga John Mnyika peke yake, au kuna wenzake?

..halafu Mnyika awe mtekaji?! mbona hana haiba hiyo? Si bora hata wangemsingizia Kigaila.
Kwanza ni muoga sana kwa wanao mjua. Mwepesi sana kukimbia varangati

Labda wam set makusudi
 
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.

Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa

Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?

Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.

Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?
Kuhusu swala la kutekwa Aly kibao mnyika alijulishwa na familia ya Ally kibao baada ya kupigiwa simu na dereva wa Tashrifu ambaye yupo karibu na familia hiyo haya maswala yanakuwa na majibu ya hisia hisia kwasababu vyombo halisi vya uchunguzi havitoi wapi vimefikia aidha kwa nia nzuri au kwa mapenzi yao wenyewe.. Wapo wengi tu wametekwa na POLISI tu ndiyo tunaotegemea watupe ukweli wasipo tupatia ukweli kwa mda muafuka kila mtu anakua na dhana zake na hiyo ni kawaida kwa jambo lolote lakini mimi ninavyo jua kwa vyovyote vile POLISI watakuwa wamefikia atua fulani na wanaendelea na uchunguzi wao, Nondo amepatikana anaweza akatupatia picha ya watekaji nini walikuwa wanataka kwake ni maswali gani walimuhoji, kama ni yakisiasa, kibishara hata kimapenzi majibu yote anayo yeye, tuzidi kumuombea Mungu tu apone na awe na nguvu na afya yake iimarike.
 
Back
Top Bottom