Mzigo umefika Jomo Kenyatta sasa naambiwa niulipie ili uweze kutumwa kwa Nyerere airport apa naona naingia Chaka🤣🤣🤸🤣🤣 nikweli mkuu hata mimi amenitumia umeshafika
Lipia mkuu 😝😝😝😝😹😹😹😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzigo umefika Jomo Kenyatta sasa naambiwa niulipie ili uweze kutumwa kwa Nyerere airport apa naona naingia Chaka🤣🤣🤸
Kua na huruma chiefLipia mkuu 😝😝😝😝😹😹😹😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzigo umefika Jomo Kenyatta sasa naambiwa niulipie ili uweze kutumwa kwa Nyerere airport apa naona naingia Chaka
Na anajisifia kabisaUnatapeliwa kifala sana. Wakenya na Wanaijeria ndo michezo yao. Huo mzigo ili uupate kuna kiwango ataomba utume kwa shirika la ndege linalosafirisha au ofisi x na hapo ndo unaenda tapeliwa