Je, huu nao ni utapeli? Mniokoe kabla hakijanikuta kitu

Mzigo umefika Jomo Kenyatta sasa naambiwa niulipie ili uweze kutumwa kwa Nyerere airport apa naona naingia Chaka🀣🀣🀸
Lipia mkuu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Lipia mkuu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Kua na huruma chief
 
Aaaah hapna kaka izo zilikua njia janja janja tu za wao kujipigia pesa kwa sasa Bongo watapigwa wengi pesa na kila mmoja atabaki kuugukia maumivu tu kimya kimyaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…