Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.
Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.
Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.
Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.
Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?