Je, huu ndio mwisho wa kutumia neno "Mabeberu"?

Mijitu ya hovyo imetoka,tunashukuru Mungu,
Mijitu inayoamini umaghufurism,imetulizwa nchi ipo mikononi mwa professionals,
Jitu kama Kabudi,Ili lionyeshe msimamo,lilikuwa linatumbua mimacho tu.
Yale macho yanaona umbali wa kilometa elfu mia lenda na sitini na kenda...
 
Kwahyo mkuu unashauri tuwaachie wachukue rasilimali zetu sio?
mkuu kuna tofauti kati ya kumuachia mtu rasilimali na kujenga naye mahusiano mazuri.

labda utaweza kupata kujua technology anayotumia juu ya matumizi ya rasilimali kuliko kujitia ubabe wa kijinga wa masikini jeuri.
 
kutumia neno "mabeberu" ni ushamba wa hali ya juu na kukosa kujitambua.
mfano watu wa nje ya afrika wakiwaita africans manyani africans hawakubali lakini wakati huohuo wao wanawaita mabeberu what the hell?.

mtu aliyekuzidi kama huwezi kushindana nae basi shirikiana nae ili ujue jinsi anafanya na wewe utoke huko chini ulipo.
lakini kilichokuwa kinatokea ni kujitenga na waliokuzidi kwenye kila nyanja hivyo kubaki palepale ulipo ukichangia umeshindwa kushindana nae, Tabia za masikini jeuri.

mama samia ni rais anayejitambua sana na bila shaka anajua umuhimu wa mahusiano mema kimataifa.

If you can't beat them join them.
 
Mabeberu ni watesi wetu kwa miaka 400 iliyopita na wanaendelea kutunyonya.
Uhalisia ni kwamba. Mabeberu ufahamu michezo yao au usifahamu. There is nothing yu can do.
May be waje wateleze at a certain point in life. But its not in the near future.
Dr Ryoba wa TIBISI bado anautumia huu msemo wa kipuuzi wa mabeberu..!
 
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.

Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.

Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.

Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.

Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?
Kama mashine za nyungu tu mmeshazibomoa kabla hata ya arobaini, hilo neno mabeberu unadhani watu wanalikumbuka tena?
 
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.

Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.

Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.

Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.

Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?
Unajua maana ya neno Mabeneru? Kama unajua maana ya mabeberu basi huna sababu ya kuuliza hili swali. Kwani mabeberu kwa asili yake siyo tusi.
 
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.

Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.

Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.

Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.

Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?
Litabaki darasani kwenye somo la history?
 
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
 
Unahisi hii sauti yako imesikika?
 
Umesahau kitu kimoja cha msingi kuliko vyote.

ATUAMBIE HII MIFUMO MIPYA YA PESA INAYOINGIA TANZANIA NI SALAMA? "CRYPTO CURRENCY". Na kama ni salama kwann nigeria wameikataa?
Na aweke discussion na wana uchumi ku define huo mfumo kwa tusiouelewa
 
Back
Top Bottom