Utawala wa marehemu ulikuwa ni utawala wa kishamba na kijima.
Biashara yoyote huwezi kuikuza bila kuwa na pande mbili, mzalishaji na mlaji. Na pande zote ni muhimu. Almasi yako ni mawe yasiyo na thamani kama hakuna wasio na almasi, wanaohitaji almasi. Tembo wako ni kero kama hakuna wasio na tembo ambao watakuja kuwatazama. Mwendawazimu akiwa na magunia ya mahindi 1,000, anaweza kuwadharau wasio na mahindi bila kujua mahindi yake ni takataka kama hakuna wasio na mahindi ambao watayanunua.
Reasoning ya utawala uliopita kuhusu uchumi, biashara, uongozi, ilikuwa zero kabisa.
Katika Ulimwengu wa kisasa, hakuna beberu wala jike bali mna partners wa biashara na ujenzi wa uchumi, kwa sababu mnategemeana.