Je, huu ndio mwisho wa kutumia neno "Mabeberu"?

Utawala wa marehemu ulikuwa ni utawala wa kishamba na kijima.

Biashara yoyote huwezi kuikuza bila kuwa na pande mbili, mzalishaji na mlaji. Na pande zote ni muhimu. Almasi yako ni mawe yasiyo na thamani kama hakuna wasio na almasi, wanaohitaji almasi. Tembo wako ni kero kama hakuna wasio na tembo ambao watakuja kuwatazama. Mwendawazimu akiwa na magunia ya mahindi 1,000, anaweza kuwadharau wasio na mahindi bila kujua mahindi yake ni takataka kama hakuna wasio na mahindi ambao watayanunua.

Reasoning ya utawala uliopita kuhusu uchumi, biashara, uongozi, ilikuwa zero kabisa.

Katika Ulimwengu wa kisasa, hakuna beberu wala jike bali mna partners wa biashara na ujenzi wa uchumi, kwa sababu mnategemeana.
 
Mijitu ya hovyo imetoka,tunashukuru Mungu,
Mijitu inayoamini umaghufurism,imetulizwa nchi ipo mikononi mwa professionals,
Jitu kama Kabudi,Ili lionyeshe msimamo,lilikuwa linatumbua mimacho tu.
 
Marehemu alikuwa ni janga la giza ajui chochote kuhusu external world na economic integration.
Nadharia ya maendeleo kwake ni mitulinga tu
 
Beberu ni majitu yenye nguvu na tishio kwa wasio na nguvu. Yapo duniani kote hata watanzania yapo mabeberu. Tena waafrika wapo wengi tu.
 
Kwa kifupi Mama Samia amekuja kuondoa uwendawazimu serikalini na kurudisha kitu kinaitwa sanity

Ametoa hotuba si chini ya 3 tangu aapishwe na sijasikia neno Mabeberu hata Mara moja

Huwezi kumsikia akikaripia na kutisha watu, amekuwa akitoa maneno mazuri kwa ukarimu na kukataza matumizi ya nguvu na kuhamasisha matumizi ya akili.

Kwa kifupi ni kuwa sasa Tanzania ndo imepata kiongozi
 
Mtu mshamba madaraka hayamfai atalewa .Mtu mshamba madaraka kwake ni kitu kikubwa sana
 
Imperialism is highest stage of capitalism.
One of its future is globalization
Beberu ni neno kongwe na la kihafidhina sana hapa tulip leo. Yeyote anayelitumia ana sheeda kichwani
 
Ushaendeleza kuita watu mabeberu tayari
 
Dr Ryoba wa TIBISI bado anautumia huu msemo wa kipuuzi wa mabeberu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…