Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Yale macho yanaona umbali wa kilometa elfu mia lenda na sitini na kenda...Mijitu ya hovyo imetoka,tunashukuru Mungu,
Mijitu inayoamini umaghufurism,imetulizwa nchi ipo mikononi mwa professionals,
Jitu kama Kabudi,Ili lionyeshe msimamo,lilikuwa linatumbua mimacho tu.
mkuu kuna tofauti kati ya kumuachia mtu rasilimali na kujenga naye mahusiano mazuri.Kwahyo mkuu unashauri tuwaachie wachukue rasilimali zetu sio?
Dr Ryoba wa TIBISI bado anautumia huu msemo wa kipuuzi wa mabeberu..!
Kama mashine za nyungu tu mmeshazibomoa kabla hata ya arobaini, hilo neno mabeberu unadhani watu wanalikumbuka tena?Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.
Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.
Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.
Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.
Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?
Unajua maana ya neno Mabeneru? Kama unajua maana ya mabeberu basi huna sababu ya kuuliza hili swali. Kwani mabeberu kwa asili yake siyo tusi.Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.
Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.
Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.
Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.
Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?
Litabaki darasani kwenye somo la history?Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje.
Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof. Palamagamba Kabudi kwenye wizara ya mambo ya kigeni na kumteua mwanadiplomasia aliebobea Bi. Liberata Mulamula.
Kwa wale wanaomfahamu Bi. Liberata Mulamula, ni mwanasiasa anaependa maridhiano na mashauriano kati ya Tanzania na nchi nyingine na jumuiya ya kimataifa.
Niliwahi kutazama mahojiano yake na TBC ambapo alionekana kutokurdhshwa na namna serikali ya Magufuli ilivyovuruga uhusiano na jumuia ya kimataifa.
Je, huu ndo mwisho wa kuwaita wazungu mabeberu na kutengeneza upya mahusiano na nchi za magharibi?
Unahisi hii sauti yako imesikika?Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.
Watanzania tunataka SGR , BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.
Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.
Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi ( Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.
Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.
Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza , hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote ,ukifanya hivyo watanzania hatutakuelewa
Umesahau kitu kimoja cha msingi kuliko vyote.Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.