Je huu ndio ukweli kuhusu mshana jr ?

Je huu ndio ukweli kuhusu mshana jr ?

za jioni wana jamvi?!,tangu nimeingia humu kila nikisoma post mwisho lazima atatokea mtu ayasema muulize mshana jr?! swali je mshana jr ni nani?!
anajishugulisha na nini?!
kama ni mganga je ni wa kienyeji au?!
mshana ni erehoa?!! ni saaidieni wanajamvi??!
 
Duh post ya Nov 3 2017.. Je ulifanikiwa kupata majibu?[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom