carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 591
- 1,382
Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga.
Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi kuu hii ujerumani inatarajiwa kuisha tarehe 27/5/2023 ambapo bayern atakipiga dhidi ya Fc koln huku dortmund wakichuana na mainz 05.
Je,borussia dortmund watapata ushindi dhidi ya mainz 05 na kutangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu nchini german!?