Je, huu ndiyo mwisho wa utawala wa "THE BAVARIANS"baada ya miaka 10 kupita?

Je, huu ndiyo mwisho wa utawala wa "THE BAVARIANS"baada ya miaka 10 kupita?

Dortmund akipata Sare na Bayern akashinda ina maana Bingwa atakuwa Bayern [emoji119]
Angalia Nani Yuko fom sahv,dotmund anatembeza kichapo Ni balaa hivi karibuni[emoji4]
 
Dortmund bado wana kazi ya kufanya game ya mwisho wanaweza zingua kisha wasiamini kitakachotokea..
 
Ubingwa wa dotmund huu,

Bayern kaupoteza kizembe Sana

Walikosea sn kumfuuza nigelsman na kumleta tuchel, hili kosa litawagharim mpk watakapofanya mabadilko ya kocha anayeeleweka.

Bayern Ni ile ile, ila inavocheza sahv utadhani ruvu shooting.

Pale mchawi Ni kocha
Pep ndio aliharibu style ya uchezaji wa Bayern, Nigelsman alikuwa anaurudisha ule mfumo ila bado alikuwa hajamaliza kazi. Tusche mule hakuna kocha, ni zali tu lilimtokea pale Chelsea.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ata dortmund asiposhinda bado ana nafasi ya kutwaa ubingwa coz wale mbwea coln fc wakiwa kwenye ardhi yao ya nyumbani kamwe hawatamuacha salama bayern, akishinda sna ni droo.
 
Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga.

Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi kuu hii ujerumani inatarajiwa kuisha tarehe 27/5/2023 ambapo bayern atakipiga dhidi ya Fc koln huku dortmund wakichuana na mainz 05.


Je,borussia dortmund watapata ushindi dhidi ya mainz 05 na kutangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu nchini german!?
Mainz 05 sio wa kunyea.. hata Kóln pia. Still ana nafasi. Hatuwezi kusema a hundred percent Dortmund bingwa Ilhali akitoa sare Bayer akashinda anakuwa bingwa kwa GD
 
Dortmund bado wana kazi ya kufanya game ya mwisho wanaweza zingua kisha wasiamini kitakachotokea..
Wanaecheza nae tia maji tia maji. Hata legeza wahuni wabebe ndoo nani anae penda kila siku timu moja tu
 
Toka tuchel apewe timu, Bavarians tumepoa sana, tusubiri tu msimu ujao...
 
Back
Top Bottom