Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga...
Hizo mechi 5 umezitoa wapi?Kwa msimamo ulivyo BADO mechi tano,SAWA na point 15,KAZI BADO haijaisha kabisa!!
YEYOTE binges msim huu!!
Hapo kwenye msimamo huoni played 33 inamaana BADO mechi tano ifike 38!!?hebu cheki msimamo huo hapo juu!!!Hizo mechi 5 umezitoa wapi?
Ligi ya ugerumani haina timu 20Kwa msimamo ulivyo BADO mechi tano,SAWA na point 15,KAZI BADO haijaisha kabisa!!
YEYOTE binges msim huu!!
Hapa unaongelea ligi ipi boss?Kwa msimamo ulivyo BADO mechi tano,SAWA na point 15,KAZI BADO haijaisha kabisa!!
YEYOTE binges msim huu!!
Hamna itakuwa labda anajua ligi ya ujerumani ina timu 20Bipolar mzee
We kiazi unayejiita NAMBA MOJA AJAYE NCHINI ligi ya ujerumani ina team 18 so ligi inakuwa na mzunguko wa mechi 34.Hapo kwenye msimamo huoni played 33 inamaana BADO mechi tano ifike 38!!?hebu cheki msimamo huo hapo juu!!!
Kwani ligi zote duniani Zina game 38?Hapo kwenye msimamo huoni played 33 inamaana BADO mechi tano ifike 38!!?hebu cheki msimamo huo hapo juu!!!
Wanaweza wasipate huo ubingwa,Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga.
Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi kuu hii ujerumani inatarajiwa kuisha tarehe 27/5/2023 ambapo bayern atakipiga dhidi ya Fc koln huku dortmund wakichuana na mainz 05.
Je,borussia dortmund watapata ushindi dhidi ya mainz 05 na kutangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu nchini german!?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hizo mechi 5 umezitoa wapi?
Ubingwa wa dotmund huu,
Bayern kaupoteza kizembe Sana
Walikosea sn kumfuuza nigelsman na kumleta tuchel, hili kosa litawagharim mpk watakapofanya mabadilko ya kocha anayeeleweka.
Bayern Ni ile ile, ila inavocheza sahv utadhani ruvu shooting.
Pale mchawi Ni kocha
Kwa msimamo ulivyo BADO mechi tano,SAWA na point 15,KAZI BADO haijaisha kabisa!!
YEYOTE binges msim huu!!
Hapo kwenye msimamo huoni played 33 inamaana BADO mechi tano ifike 38!!?hebu cheki msimamo huo hapo juu!!!