Je, huu ndiyo mwisho wa utawala wa "THE BAVARIANS"baada ya miaka 10 kupita?

Dortmund akipata Sare na Bayern akashinda ina maana Bingwa atakuwa Bayern [emoji119]
Angalia Nani Yuko fom sahv,dotmund anatembeza kichapo Ni balaa hivi karibuni[emoji4]
 
Dortmund bado wana kazi ya kufanya game ya mwisho wanaweza zingua kisha wasiamini kitakachotokea..
 
Pep ndio aliharibu style ya uchezaji wa Bayern, Nigelsman alikuwa anaurudisha ule mfumo ila bado alikuwa hajamaliza kazi. Tusche mule hakuna kocha, ni zali tu lilimtokea pale Chelsea.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ata dortmund asiposhinda bado ana nafasi ya kutwaa ubingwa coz wale mbwea coln fc wakiwa kwenye ardhi yao ya nyumbani kamwe hawatamuacha salama bayern, akishinda sna ni droo.
 
Angalia Nani Yuko fom sahv,dotmund anatembeza kichapo Ni balaa hivi karibuni[emoji4]
Jana dortmund akiwa ugenini kama sio mipnzani kupata red card basi ushindi wa dortmund ungeweza kuwa ni droo.
 
Mainz 05 sio wa kunyea.. hata Kóln pia. Still ana nafasi. Hatuwezi kusema a hundred percent Dortmund bingwa Ilhali akitoa sare Bayer akashinda anakuwa bingwa kwa GD
 
Dortmund bado wana kazi ya kufanya game ya mwisho wanaweza zingua kisha wasiamini kitakachotokea..
Wanaecheza nae tia maji tia maji. Hata legeza wahuni wabebe ndoo nani anae penda kila siku timu moja tu
 
Toka tuchel apewe timu, Bavarians tumepoa sana, tusubiri tu msimu ujao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…