Je, huu ni mchezo mchafu?

Je, huu ni mchezo mchafu?

CRDB wanasema account yangu namba imebadilika,wasiliana na tawi la CRDB lililo karibu yako.
Nimekwenda benki kuuliza,what is this,mimi nimebadilisha account namba yangu lini?
Wanasema yapo matatizo lakini hapa hatuna facility za kukuhudumia,nenda tawi lingine.
Kwa hiyo bado nawatafuta benki
Lakini account yangu benki sasa hivi haina hela.
Ahahahaha
 
Kuna ndugu yangu mmoja ana account huko CRDB, ila anasema haijatimia kwa muda mrefu kidogo.
Sasa wiki ya pili anapokea jumbe za alerts kuwa account yake imepokea sh. Kadhaa, mara baada ya muda mfupi anapokea tena jumbe kuwa account yake imetolewa fedha kiasi kadhaa sawia na ile pesa iliyoingia.
Nilimwambia aangalie Salio akasema kadi hajui iko wapi na app haiko kwenye simu yake. Alihisi account kapewa mtu mwingine.
Nikamwambia watu wa benki wako makini sana hawawezi kumpa mtu account yenye usawia na ya mtu mwingine. Pia kwanini namba ya simu hawajabadili.
Mimi nimemsanua may be ni mapapa, na asipoangalia jela inamngoja maana ni pesa nyingi sana.
Milioni mia , mia na kitu, milioni tisini, milioni mia mbili n.k
Kama ni mchezo mchafu nani anaibiwa?
Pesa wanasema zimetoka kwa swift
Mimi napokea meseji za NMB kutoka na kuweka na Sina account huko
 
Itakuwa alikua na mkopo akautelekeza, wakitaka ku write off huwa wanakuwekea kwanza ile amount yote, unakuwa kama umepewa mkopo mpya, then wanautoa kuupeleka written off loans. Ndio maana hana ujasiri wa kwenda benki kuulizia 😆😆😆
 
kuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.
Acha ujiñga hela nyingi hivo huwezi kutoa kwa kuongea na teller peke yake. Lazima upeleke kwa branch manager na utoe copy kitambulisho. Inaonesha hujawahi toa hata 5m wewe.
 
Dah! tutafute maokoto kwa sana,nilichogundua ukiwa na akaunti benki isiyokatia pesa utawala sana hao wadada wa benki maana wanazipiga chabo sana akaunti za wateja.
 
Acha ujiñga hela nyingi hivo huwezi kutoa kwa kuongea na teller peke yake. Lazima upeleke kwa branch manager na utoe copy kitambulisho. Inaonesha hujawahi toa hata 5m wewe.
mkuu wala tusianze kuitana wajinga, maana hzo 5m unazosema nimeshatoa sana, na ninachofanya naenda dawati la customer care na form yangu na kitambulisho changu, wao ndo wana jukumu la kwenda kwa manager huko na kufanya wafanyacho, baada ya hapo wananirudishia form yangu naenda kwa teller kuchukua mzigo.

Hapa tunaongelea scenario tofauti jifunze kusoma na kuelewa, teller alidai anaweza toa hyo hela, anatoaje hilo halikuwa jukumu langu, boya akakataa baada ya teller kudai 25m, boya akaenda kwa manager, akarudi na mapumbu yake tu.

Soma uelewe acha kurukia mada, punguani waheed
 
Hiyo sms ya pesa kuwekwa inawezekana ikawa ipo sahihi na kweli pesa zimewekwa ila hy sms ya pesa kutolewa inawezekana ikawa haipo sahihi na pesa bado zipo ila hawa wapigaji hua wanasikiliza wasiposhtukiwa ndo wanakuja kuzitoa rasmi
 
Back
Top Bottom