Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua!

Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT

8 Mar, 2025 19:36

Ndicho walichotaka siku zote. Waliwaza wataingiaje DRC kuyachuma madini haya adimu na adhimu duniani? Kwanza wakamfadhili Rwanda ili kumchomganisha rasmi na jumuiya ya kimataifa. Wakampa effective equipment za kujilinda na mashambulizi ya anga. Kagame akavimba kichwa. Baada ya hapo mataifa wakaanza kumshushia lawama kwa kuivamia DRC wakamwekea vikwazo halafu sasa wameamua kuingia upande wa pili DRC ili rasmi wapewe migodi wachimbe wao wenyewe. Kumbuka walichotaka kwa Ukraine, Zelensiky akajifanya kukataa, lakini baadaye akaomba radhi na muda siyo mrefu atarudi Marekani kuitoa rasmi Ukraine kwa Marekani. Marekani ndiyo tatizo kubwa duniani. No peace with America but neo colonialism.
 
Sijui kwanini napata shaka shaka USA akiwajirani yetu hapo DRC kama turakuwa salama.

Kila lenye mwanzo Lina mwisho, Sasa mwisho wa PK umewadia and true colours ya Rwanda itaonekana, uchumi wao utarudi chini kwa kasi ya radi, no more bloody minerals, sisi watz hatuna cha kuwapa wazungu hivyo tuko salama tu hata British hawakuona haja kubaki wakati wa ukoloni
 
Kagame inabidi akamatwe sasa na achukuliwe hatua au hata kunyongwa maana kaua watu wengi sana
 
Sijui kwanini napata shaka shaka USA akiwajirani yetu hapo DRC kama turakuwa salama.
sisi wenyewe tuna nguvu za kukabiliana na taifa lolote kubwa au dogo duniani, tuna utisho mkuu hakuna wa kuweza kutamani rasilimali zetu kwa kutuchonganisha sisi kwa sisi au kenge yeyote jirani yetu. Tuko imara tangu zama za Mwalimu Nyerere hakuwaogopa wakoloni aliwapa makavu na walituogopa. Rasimali zetu tutatoa kwa makubaliano maalum kwa faida ya nchi yetu na sio wezi toka nje waje wajichukulie watakavyo, cha moto watakiona kutoka ardhi yetu ikiwa wataingia kibabe kuvuna madini yetu
 
Ndicho walichotaka siku zote. Waliwaza wataingiaje DRC kuyachuma madini haya adimu na adhimu duniani? Kwanza wakamfadhili Rwanda ili kumchomganisha rasmi na jumuiya ya kimataifa. Wakampa effective equipment za kujilinda na mashambulizi ya anga. Kagame akavimba kichwa. Baada ya hapo mataifa wakaanza kumshushia lawama kwa kuivamia DRC wakamwekea vikwazo halafu sasa wameamua kuingia upande wa pili DRC ili rasmi wapewe migodi wachimbe wao wenyewe. Kumbuka walichotaka kwa Ukraine, Zelensiky akajifanya kukataa, lakini baadaye akaomba radhi na muda siyo mrefu atarudi Marekani kuitoa rasmi Ukraine kwa Marekani. Marekani ndiyo tatizo kubwa duniani. No peace with America but neo colonialism.
Kweli kabisa
 
Kuacha Tanzanite ni madini gani Mengi tunayo Mengi Sana Kiasi cha kufanya mataifa makubwa yatutamani?

Rasilimali zetu zipo kwa kiwango cha Kati.
 
Tsetsekedi kasikia ushauri wetu njia pekee ya kumaliza vita congo ni kuwapa migodi wamarekani wachukue madini bila damu kuliko hii ya sasa ya kumwaga damu ili kupata madini
 
Huyo Auawe kabisa, maana kaua askari wetu sana,
Mtu anaenda Congo mzima then anarudishwa kwenye Sanda!
So sad indeed
 
Ndicho walichotaka siku zote. Waliwaza wataingiaje DRC kuyachuma madini haya adimu na adhimu duniani? Kwanza wakamfadhili Rwanda ili kumchomganisha rasmi na jumuiya ya kimataifa. Wakampa effective equipment za kujilinda na mashambulizi ya anga. Kagame akavimba kichwa. Baada ya hapo mataifa wakaanza kumshushia lawama kwa kuivamia DRC wakamwekea vikwazo halafu sasa wameamua kuingia upande wa pili DRC ili rasmi wapewe migodi wachimbe wao wenyewe. Kumbuka walichotaka kwa Ukraine, Zelensiky akajifanya kukataa, lakini baadaye akaomba radhi na muda siyo mrefu atarudi Marekani kuitoa rasmi Ukraine kwa Marekani. Marekani ndiyo tatizo kubwa duniani. No peace with America but neo colonialism.
Kuna muda nalitafakari Taifa la Marekani nakosa majibu. Inakuaje siri zake zinakuwa uchi hivi hadi kwa watu wa Kiburang'oma Songea wanazijua?

Yaani Serikali ya DRC haijui anakuja kujua mtu wa kwetu huku. Hii imekaaje?
 
sisi wenyewe tuna nguvu za kukabiliana na taifa lolote kubwa au dogo duniani, tuna utisho mkuu hakuna wa kuweza kutamani rasilimali zetu kwa kutuchonganisha sisi kwa sisi au kenge yeyote jirani yetu. Tuko imara tangu zama za Mwalimu Nyerere hakuwaogopa wakoloni aliwapa makavu na walituogopa. Rasimali zetu tutatoa kwa makubaliano maalum kwa faida ya nchi yetu na sio wezi toka nje waje wajichukulie watakavyo, cha moto watakiona kutoka ardhi yetu ikiwa wataingia kibabe kuvuna madini yetu
Uzuri wetu sisi tulikubaliana na mikataba mibovu so wanaona sisi limkataba lolote kwetu sawa🤣🤣🤣🤣. Alipokuja JPM si uliona uozo? Au mwenzetu uko dunia gani?
 
Africa tuache unoko yaani mnaona bora kumnufaisha mzungu kuliko Muafrica mwenzako?
 
Congo ndani ya miaka 20 itakuwa jiji la kutembelea na mfano Africa - bora kumkaribisha mzungu kukiko mchina.

Kagame dawa yako ishafika.
 
Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua!

Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT

8 Mar, 2025 19:36

Si mlicheka mababu zetu walikuwa wanapewa shanga na wenyewe wanawapa wazungu madini? Bado hali ni ile ile au imekuwa mbaya zaidi. Mnawapa madini yenye thamani kubwa na nyie mnapewa silaha za kuuana. Mwafrika ni nyani.
 
Back
Top Bottom