Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

Umeandika ukweli mtupu, ila Afrika hatujielewi. Mmarekani na nchi za ulaya kwa ujumla hawatoi msaada bila wao kufaidika, na wao ndiyo chanzo cha kukosekana kwa amani duniani. East Afrika tumefikiwa na uchonganishi wa hao jamaa dah! inauma sana.
 
Watu badala ya kujifunza jinsi ya kutumia malighafi zako kujenga nchi kama PK alivyofanya, sisi tupo busy kuombea aharibikiwe...
 
Wameyavuna toka mwaka 95 we unaishi wapi ndugu, fuatilia nchi gani inaongoza kuuza Tanzanite ndo utajua kama tulishaliwa mda tena bila nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…