Je huu ni mwanzo wa vita vya tatu vya dunia ? Matumizi ya silaha za nyuklia kuna siku zitatumika?

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN?

Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita.

Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia kutumika kati ya mwaka 2026-2030
 
Kwa sababu ushuhuda wa mtu wa Mungu aliyefunuliwa maono na YESU mwenyewe.

YESU alimchukua mpaka nchi ya IRANI na akamuonyesha ,sehemu ya SIRI ambapo nchi ya IRANI imeficha silaha hatari zaidi duniani ya mabomu ya NYUKLIA
hiyo sehemu ya siri na zimefichwa kwa USIRI MKUBWA hata marekani hajui IRANI ilipoficha silaha zake hatari za nyuklia

UHATARI WAKE ni wa tofauti..ni hatari zaidi kuwahi kutokea duniani,kwamba endapo IRANI akiitumia hiyo SILAHA italeta madhara kwa sehemu kubwa saba ya dunia watu wengi sana watakufa na dunia itaharibiwa vibaya kwa sehemu kubwa.

ALICHOKISEMA YESU kumwambia mtumishi wake.

Kwamba yeye YESU hataruhusu silaha hiyo itumiwe na IRANI mpaka au kabla ya KUWAONDOA WATU WAKE WOTE WALIOPO DUNIANI(UNYAKUO WA WATU WA MUNGU WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI)

ina maana unyakuo umekaribia sana ,kwa sababu mambo haya na unabii huu ulitokea miaka mitano iliyopita ..KABLA HATA YA HII VITA YA IRANI NA USA/ISRAEL.

Sasa kwa kuwa hii vita imesha anza ina maana unyakuo wa watakatifu mekaribia sana.
 
1)UNYAKUO wa watakatifu utatokea mapema 2026-2030 ukitangulia kabla ya nuclear war inayofuatia soon..mabomu ya nyuklia yataanza kutumika

2)vita ya tatu ya dunia WWIII

3)Mafuta hayatakuwepo kabisa...watu watatembea kwa miguu,panda magari ya kilukokotwa na wanayama (farasi,punda) ama baiskeli.

3)chapa ya mnyama 666 hutaweza kununua wala kuuza bila kuwa na chapa mkononi ama paji la uso(ufunuo wa yohana 13)
Digital currency,matumizi ya cardless cashless system ,..CHANJO ya lazima ambayo itakuwa na microchip..hiyo chapa ya mnyama itakuwa ndogo very micro nano meter..kupitia chanjo au small scratch...CHANJO MPYA KAMA ILE YA KORONA IKITANGAZWA MSICHANJE HIYO NI CHAPA YA SHETANI..ambayo itakubadilisha thinking yako na roho yako itakuwa mbaya na katili kama shetani itakufanya utawaliwe na shetani ..

4)dhiki kuu duniani
Mazingira tabia nchi kubadilika kuharibika kutokana na adhari za matumizi ya silaha za nyuklia..

HALI YA MAISHA katika kila nyanja kila eneo itakuwa ngumu sana ..kila kitu kitakuwa ni shida.

Tuwe tayari kwa UNYAKUO,ili siku hiyo tusiachwe duniani..LEFT BELOW..(naongea na walioamini wanaelewa maana ya unyakuo ndio huo ..muda umefika)
 
na vigundi vya magaidi na wahamiaji wageni wanaoishi marekani pamoja na trrrorist vikundi vya kigaidi..

Kwa wanaofuatilia habari za ufunuo wa DANIEL wanafahamu hii script ,US inakwenda kuangushwa na US dollar inakwenda kuanguka...RUSSIA+CHINA zinakwenda kuinuka...

na Vita vya tatu vya dunia vinakwenda kuanza kati ya makundi haya makuu manne
1)kundi la kwanza URUSI USSR itaungana na UKRAINE,+ CHINA +KOREA ASIA na North africa


kundi pa pili
2)USA NATO na South africa


3)kundi la tatu ambalo ni dhaifu hakina silaha ambalo litakuwa linajificha na kujihaminna vita vya wenyewe(EAST AFRICA +WEST AFRICA)

4)Kundi la nne ni ISRAEL ambayo haitapigana hii vita vya hermageddon


baada ya hii vita MPINGA KRISTO ataibuka

atakuja na suluhisho la NWO,akisaidina na nabii wa uongo na mnyama,akisaidiana na reptilian manefil nephilim na IA robots

Vita vya magogu mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KILA PANDE...

baada ya vita vya 3 vya dunia mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KUTOKA KILA PANDE KILA KONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…