Je, Huu Ni Mwisho wa Ushirika wa CHADEMA na Wanaharakati?

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,359
Reaction score
5,329
Walianza na FAM& Co.

Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza.

Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga.

Kamwaga ya Direct Contact ya Heche ma Boss Kubwa.

Mtananage ukiendelea siku 2 Mtajua Mengi ya sirini.

Chadema ikibali ijisalimishe kwa Wanaharakati au iachane nao kufanya siasa ?

Silaha ya Kubomoa Chadema Ni Wanaharakati. ( Na bajeti yake imetengwa ) Huko Wameplant watu kibao Wanaojifanya wana uchungu na Chadema kuzidi hata waliopoteza kabisa Biashara zao, Ndg zao.


NB: hii Move Kweli Jamaa wale wanatumia akili.

GM - Summy Russia.
 
Mtu anawasiliana na Usalama wa taifa ,halafu anakuambia anatafutwa na usalama wa taifa😅😅...Ukikaa hapo Dar kuna vituko sana.

Kuna kipindi fulani ,tukiwa posta niliona viongozi wa vyama kwa pamoja wamekaa kwenye meza wanaongea na kucheka ,walikuwa wa upinzani na CCM ..Ilikuwa miaka ya mwanzoni ya Magufuli.
 
Siasa za unafki za Babu yule Muoga kupitiliza na mbinafsi wa kupindukia.

Jadho la walalahoi linachezewa kulinda wapuuzi fulani.
Huu sio ujanja hata kidogo ni ujinga chini ya kofia ya uoga na unafki.
 
Bila Chadema imara Tanzania nzima itayumba kuliko inavyoyumba sasa
 
Hili ni jambo dogo., Kila mtu anaaccess na kiongozi WA umma kwani DG WA tiss ana shida gani? Hapo naona lema kachemka angemjibu SATIVA. Toka muda Sasa yeye na sugu wana mwona Heche kama kikwazo kumfikia malengo yao. Hatujui wana mpango gani
Doohhh aiseee...yan hayo ndio yanaendelea chadema?? Alooo sad.
 
Ni ugomvi WA sativa na lema CHADEMA muwe makini. Isipokuwa nyie CHADEMA wakati mwingine mmna mihemuko. Mambo ya watu wawili mnayakuza. Kwani kumpa pole mfiwa Kuna shida gani. Kama zomekosewa protokali nimambo yenu ya ndani.
 
Hili ni jambo dogo., Kila mtu anaaccess na kiongozi WA umma kwani DG WA tiss ana shida gani? Hapo naona lema kachemka angemjibu SATIVA. Toka muda Sasa yeye na sugu wana mwona Heche kama kikwazo kumfikia malengo yao. Hatujui wana mpango gani
Kwahiyo Lema na Sugu ni kikwazo kwa Bwana Heche?
Unaijua vyema historia ya Heche?
 
Lema kamwaga mboga.

wakiendelea hivyo wataanika yote ya sirini

Hahah.
 
Km Lema ametumwa kumchafua Heche, basi amenoa, watu hawana time nae, yeye aendelee na unabii wake uchwara.
Kuna tatizo gani kiongozi mkubwa kama HECHE kuwasiiana na DGIS tena kuhusu jambo lenye maslahi yake kama kutaka pasipoti yake arudishiwe,kila mtu na njia yake ili mradi haihusu kuhujumu chama. Lema abadilike asijione ni bidhaa adimu kwa Chadema. Heche asimjibu kabisa acha watu wajue pumba na mchele. Ajue yeye ndiye kiongozi kwa sasa awaachie ugomvi wao na Sativa.
 
Sijui kwanini ata nikisoma tweet za lema zimekaa katikati sana.

Hazipo specific zinaelea elea sana tangu muda huwa simuamini kabisa yule mchaga siju idk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…