Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.
Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu.
Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto.
Tukamwagia petroli kisha tukamuwasha. Matokeo yake ni nguo zake tu ndizo zilizoungua.
Gurudumu likawaka juu ya mwili wake bila ndugu kibaka kudhurika.
Tukawa wapole tukamwacha aende. Je huu ni uchawi wa namna gani?
sasa kwa huyu mwenzetu, usiku mzito hivyo wangekipata wapi kivuli chake?Najua watu wengi hawawezi kuamini ila kuna sehemu moja Mbozi ilitokea issue kama hiyo ya kibaka kuiba na kukamatwa. Watu wakampiga lakini jamaa wala halii, akatokea jamaa mmoja akasema "Msimpige yeye, pigeni kivuli chake". Walipoanza kupiga kivuli jamaa akaanza kulia balaa, na walipozidi jamaa hakuchukua muda akafairiki dunia.
wangemmulika na simu ya tochisasa kwa huyu mwenzetu, usiku mzito hivyo wangekipata wapi kivuli chake?
Najua watu wengi hawawezi kuamini ila kuna sehemu moja Mbozi ilitokea issue kama hiyo ya kibaka kuiba na kukamatwa. Watu wakampiga lakini jamaa wala halii, akatokea jamaa mmoja akasema "Msimpige yeye, pigeni kivuli chake". Walipoanza kupiga kivuli jamaa akaanza kulia balaa, na walipozidi jamaa hakuchukua muda akafairiki dunia.
wapi polisi!huyu mtu anasimulia jinsi alivyojaribu kufanya mauaji,kamateni huyu sheria mkononi!na wewe kibaka hebu njoo utoe ushuhuda ni mtaa upi ullipewa kichapo!
(nanongona)na-mimi-nipe- hiyo "anti kichapo"yako maana kuna mke wa mjeshi jirani namtamani!
uchawi unaonekana kwa macho?msibishe, huo uchawi upo. Kigoma wanautengeneza vizuri sana na kwa bei nafuu. Nimewahi kushuhudia kwa macho yangu mwenyewe. Jinsi ya kutengeneza najua pia nitarudi kuelezea hapa. Kule kigoma wanaita kidono
nyie ndio mnawasumbua hao wezi kila mara mnataka mletewe vifaa vya magari vya wizi-acheni kununua vifaa vya wizi muone kama mtaibiwa!Mitaa yetu Sinza kuna wezi wa vifaa vya magari wanatusumbua sana. Wezi hao ni kero kubwa mtaania, sasa tumeazimia kuwaua kabisa, wewe ita polisi wako, na sisi tuendelee na ya kwetu
nyie ndio mnawasumbua hao wezi kila mara mnataka mletewe vifaa vya magari vya wizi-acheni kununua vifaa vya wizi muone kama mtaibiwa!
na huyu mwizi akiwapa wenzake hiyo anti-kichapo itakuwa balaa,maana waaiba mchana halafu hawapigiki!