Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.
Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu.
Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto.
Tukamwagia petroli kisha tukamuwasha. Matokeo yake ni nguo zake tu ndizo zilizoungua.
Gurudumu likawaka juu ya mwili wake bila ndugu kibaka kudhurika.
Tukawa wapole tukamwacha aende.
Je huu ni uchawi wa namna gani?