Je huu ni uchawi wa namna gani?

Je huu ni uchawi wa namna gani?

Matatizo yenu ni kwamba mnadhani spiritual matters are limited by circumstances.Hii si kweli,mbona kwenye biblia akina Shadrack na Abednego waliwekwa kwenye tanuru la moto na hawakuungua.The devil can equally do wonders kama ukimwabudu.Ni wewe tu.
wale walikuwa wanalindwa na maika, kasome vizuri.

4 Ndipo mpiga mbiu akapiga kelele akisema, Enyi watu wa kabila zote, na taifa, na lugha, mmeamriwa hivi,
5 wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, lazima kuanguka na kuiabudu sanamu ya dhahabu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha.
6 Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao.
7 Basi wakati huo, watu wa kabila zote walipoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, watu wote na mataifa na lugha wakaanguka, wakaiabudu ile sanamu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha.
8 Basi baadhi ya Wakaldayo wakakaribia, wakaleta mashitaka juu ya Wayahudi.
9 Wakajibu, wakamwambia mfalme Nebukadreza, Ee mfalme, uishi milele.
10 Wewe, Ee mfalme, ulitoa amri ya kwamba kila mtu atakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, ni lazima aanguke na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu;
11 na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa katika tanuru ya moto uwakao.
12 Wako Wayahudi kadha wa kadha uliowaweka juu ya mambo ya wilaya ya Babeli, yaani, Shadraka, na Meshaki, na Abednego; watu hawa, Ee mfalme, hawakukujali wewe; hawaitumikii miungu yako, wala kuiabudu ile sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.
13 Basi Nebukadreza akatoa amri kwa hasira na ghadhabu, waletwe hao Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Basi wakawaleta watu hao mbele ya mfalme.
14 Nebukadreza akajibu, akawaambia, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, je! Ni kwa makusudi hata hammtumikii mungu wangu wala kuisujudia sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
15 Basi sasa, kama mkiwa tayari wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, kuanguka na kuisujudia sanamu niliyoisimamisha, ni vema; bali msipoisujudia, mtatupwa saa iyo hiyo katika tanuru iwakayo moto; naye ni nani Mungu yule atakayewaokoa ninyi na mikono yangu?
16 Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakajibu, wakamwambia mfalme, Ee Nebukadreza, hamna haja kukujibu katika neno hili.
17 Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme.
18 Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.
19 Ndipo Nebukadreza akajaa ghadhabu, na sura ya uso wake ikabadilika juu ya Shadraka, na Meshaki, na Abednego, basi akatoa amri watie moto ile tanuru mara saba kuliko desturi yake ya kutiwa moto.
20 Kisha akawaamuru baadhi ya watu mashujaa wa jeshi lake kuwafunga Shadraka, na Meshaki, na Abednego, na kuwatupa katika ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto.
21 Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto.
22 Basi kwa sababu amri ya mfalme ilikuwa ni kali, na ile tanuru ilikuwa ina moto sana, mwako wa ule moto ukawaua wale watu waliowashika Shadraka, na Meshaki, na Abednego.
23 Na watu hao watatu, Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakaanguka, hali wamefungwa, katikati ya ile tanuru iliyokuwa inawaka moto.
24 Ndipo Nebukadreza akastaajabu, akainuka kwa haraka; akanena, akawaambia mawaziri wake, Je! Hatukutupa watu watatu, hali wamefungwa, katikati ya moto? Wakajibu, wakamwambia mfalme, Kweli, Ee mfalme.
25 Akajibu, akasema, Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu.
26 Kisha Nebukadreza akaukaribia mdomo wa ile tanuru iliyokuwa inawaka moto. Akanena, akasema, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watumishi wa Mungu Aliye juu, tokeni, mje huku. Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakatoka katika ule moto.
27 Na maamiri, na manaibu, na maliwali, na mawaziri, waliokuwa wamekusanyika pamoja, wakawaona watu hao, ya kuwa ule moto ulikuwa hauna nguvu juu ya miili yao, wala nywele za vichwa vyao hazikuteketea, wala suruali zao hazikubadilika, wala harufu ya moto haikuwapata hata kidogo.
28 Nebukadreza akanena, akasema, Na ahimidiwe Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika wake, akawaokoa watumishi wake waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasimtumikie mungu mwingine, wala kumwabudu, ila Mungu wao wenyewe.
29 Basi mimi naweka amri ya kuwa kila kabila ya watu, na kila taifa, na kila lugha, watakaonena neno lo lote lisilopasa juu ya huyo Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watakatwa vipande vipande, na nyumba zao zitafanywa jaa; kwa kuwa hakuna Mungu mwingine awezaye kuokoa namna hii.
30 Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli.
 
WaTZ wabishi sijapata kuona. Uchawi upo, kule Kawe niliwahi kushuhudia Mbwa kamkamata paka na kuanza kumshughulikia lakini nyumba ya jirani kuna bikizee analalamika asaidiwe mbwa anamuua.

Alitoka kijana wake mbio na kimchukia paka. Ili bikizee apone alitibiwa paka
 
316637_10151609685519968_1441326870_n.jpg
 
ha ha ha ha..mkuu harrier yako ni hii ya kawaida au harrier lexus then ya 2001 au 2004?:majani7:
 
hakuna kitu kama hicho!! hii ni burudisha jamii, moto huwa haukosei ukikuandama mwili mzima lazima ufe. kama wachawi wapo wakaibe fedha benki watajirike waachane na umasikini. kama NI KWELI, Leta picha ya tukio tuone.

Naona we ni tomaso ngoja yakukute
 
WaTZ wabishi sijapata kuona. Uchawi upo, kule Kawe niliwahi kushuhudia Mbwa kamkamata paka na kuanza kumshughulikia lakini nyumba ya jirani kuna bikizee analalamika asaidiwe mbwa anamuua. Alitoka kijana wake mbio na kimchukia paka. Ili bikizee apone alitibiwa paka

Hahaha..duh.hii inanikumbusha story ya lwanda magere
 
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.
Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu.
Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto.
Tukamwagia petroli kisha tukamuwasha. Matokeo yake ni nguo zake tu ndizo zilizoungua.
Gurudumu likawaka juu ya mwili wake bila ndugu kibaka kudhurika.
Tukawa wapole tukamwacha aende. Je huu ni uchawi wa namna gani?
Haiwezekani kitu kama hicho
 
Unalijua tairi likishika moto au unaongea tu wallahi kama ni kweli mngekuta majivu tu tena vumbi tupu hata kichwa msingekuta
 
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.
Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu.
Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto.
Tukamwagia petroli kisha tukamuwasha. Matokeo yake ni nguo zake tu ndizo zilizoungua.
Gurudumu likawaka juu ya mwili wake bila ndugu kibaka kudhurika.
Tukawa wapole tukamwacha aende. Je huu ni uchawi wa namna gani?
kwanza unatakiwa uwe chini ya ulinzi kwa kujichukulia sheria mkononi,unataka kuua mtu kwasababu ya vifaa vya gariii kweli ndugu yangu,kwa hakika ungefuata taratibu za kisheria inawezekana wapo wengi ungeisaidia polisi kwa kupitia uyo kukamata vibaka wa aina iyo,lakini unajisifia ulimpiga zaidi ya masaa mawili dah.

ila kumbuka malipo ni duniani ebu tubu iyo dhambi ya kutaka kutoa roho ya mtu kwa ajili ya gari harrier alafu gari lenyewe used
 
Mmepata tabu sana kumpiga na kumchoma moto, mngechukua pasi ya umeme mkaiweka kwenye umeme kisha mkamchoma nayo kwenye makalio.
 
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.
Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu.
Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto.
Tukamwagia petroli kisha tukamuwasha. Matokeo yake ni nguo zake tu ndizo zilizoungua.
Gurudumu likawaka juu ya mwili wake bila ndugu kibaka kudhurika.
Tukawa wapole tukamwacha aende. Je huu ni uchawi wa namna gani?
Jini hilo
 
Mmepata tabu sana kumpiga na kumchoma moto, mngechukua pasi ya umeme mkaiweka kwenye umeme kisha mkamchoma nayo kwenye makalio.
Bado isingemuunguza. Hata Kakobe alishawahi kuzuia flow ya umeme
 
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.

Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu.

Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto.
Tukamwagia petroli kisha tukamuwasha. Matokeo yake ni nguo zake tu ndizo zilizoungua.

Gurudumu likawaka juu ya mwili wake bila ndugu kibaka kudhurika.
Tukawa wapole tukamwacha aende.

Je huu ni uchawi wa namna gani?
Kumbe na ww una gari eeh
 
Back
Top Bottom