GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani naweza kupewa na mtu (tena wengine sijuani nao kivile) pesa zao kuanzia Tsh. 500,00 hadi Mamilioni niwatunzie na wakizihitaji/wakija kuzichukua nawapa zikiwa vile vile na hata sijanyofoa chochote.
Na kinachonishangaza zaidi mimi huyu huyu GENTAMYCINE ambaye naaniniwa kupewa pesa za watu niwatunzie sina hata buku (Tsh. 1,000/=) mfukoni (choka mbaya niliyetukuka) lakini hata tamaa ya kunyofoa au kudhulumu pesa ninazowashikia watu huwa sina.
Kitendo ambacho huwa kinawakwaza sana wana (washkaji) na wakisema nitakufa masikini kwa kuwa muaminifu.
Je, hapa ninakosea au nipo sahihi?