GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nahisi unanijua Mkuu kwani Umelenga almost mule mule tu. Yaani nimecheka mpaka basi.ππ we hata kama nngekua nakujua nisingekuachia unaonekana mtu wa sound sana mkuu ukikaa kijiweni nahis watu huwaga wanacheka mda ote kama doto magari viLe
HV Kweli karne hi Kuna kushikiana pesa, kweli nimeamini watu kutoka musoma ,Mara Ni washamba ,wajinga walio tukukaa[emoji3]Yaani naweza kupewa na mtu (tena wengine sijuani nao kivile) pesa zao kuanzia Tsh. 500,00 hadi Mamilioni niwatunzie na wakizihitaji/wakija kuzichukua nawapa zikiwa vile vile na hata sijanyofoa chochote.
Na kinachonishangaza zaidi mimi huyu huyu GENTAMYCINE ambaye naaniniwa kupewa pesa za watu niwatunzie sina hata buku (Tsh. 1,000/=) mfukoni (choka mbaya niliyetukuka) lakini hata tamaa ya kunyofoa au kudhulumu pesa ninazowashikia watu huwa sina.
Kitendo ambacho huwa kinawakwaza sana wana (washkaji) na wakisema nitakufa masikini kwa kuwa muaminifu.
Je, hapa ninakosea au nipo sahihi?
Una pepo yako special mkuu ntakuletea na shemu wako unitunzieYaani naweza kupewa na mtu (tena wengine sijuani nao kivile) pesa zao kuanzia Tsh. 500,00 hadi Mamilioni niwatunzie na wakizihitaji/wakija kuzichukua nawapa zikiwa vile vile na hata sijanyofoa chochote.