Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

Huyo mama hakukosea majibu yake. Alikuwa mkweli katika kila swali alilomuuliza.
Kama hana data si hana. Na amesema. Mtumbue au muache. Sasa ukisema usinijibu hivyo, ajibu vipi sasa.

Binafsi, kati ya watu wote waliowahi kutetemeshwa na huyu mzee, mama huyu pekee ndiye aliyekuwa straight forward. (Pamoja na kutetemeka)

Heshima goes both ways. Hawezi kazi, fukuza. Kuna swali, muulize huko ofisini kwake. Akishindwa, timua. Sio kufanya performance bhana.

Huyo ni mfanyakazi, ambapo ajira yake ni mkataba wa kwamba tunakulipa in exchange for your service. Utumishi ni trade kama trade nyingine. Hakuna baba wala mama. Ni simply an exchange iliyoidhinishwa kimkataba. Mtu akiwa afanyi kazi, ame-breach contract, hivyo unaweza kuivunja. Sio kutetemeshana. Na ndio maana hatuendelei. Kama mtu afanyi kazi, muulize ofisini, hajakuridhisha, timua. Sio kufanya performance. Its pathetic.
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri kuunga mkono kwa dhati, juhudi zote na hatua zote zinazochukuliwa na rais Magufuli katika vita dhidi ya rushwa, ufisadi, wizi wa rasilimali zetu na kusimamia uwajibikaji, ila katika utekelezaji wa juhudi hizo, sometimes kunatokea hapa na pale utekelezaji huo ukafanywa ndivyo sivyo, yaani doing the right thing, and the right time, but not doing it right.

Kwa vile rais Magufuli, licha ya kuwa ni mtu anayeitwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, a human being, anaweza kufanya makosa ya kibinaadamu, lakini pia yeye ni taasisi inayoitwa Presidential Institution, taasisi hii ni purported to be perfect, haiwezi kukosea, hivyo rais Magufuli anategemewa kuwa perfect by doing the right thing, at the right time and do it right!. Makosa yoyote madogo madogo ya kibinaadamu, yanaweza kuwa tolerated yakifanywa na mtu mwingine yoyote, but not our president.

Angalia kilichofanyika hapa:

Isn't This Bullying and Intimidation?.
Kwa maoni yangu, this is bullying na intimidation. Kwa rais Magufuli yeye binafsi is very good in numbers, actually I think he is genius kwenye kutunza kumbukumbu za numbers za takwimu, namkumbuka jinsi alipokuwa waziri wa mifugo, kichwani kwake, alikuwa na idadi ya ng'ombe, mbuzi, tena nikasikia kuwa ana hadi idadi ya samaki wetu.

Alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikuwa na figures za urefu wa barabara zote za TANROADS na zimejengwa kwa kiasi gani. Then rais wetu asitegemee kila kiongozi wa umma, atakuwa mzuri kama yeye kwa kukurupushwa tuu na kuulizwa figures, alafu ajibu kutoka kichwani.

Is This Fair?, Huu Sio Udhalilishaji?.
This is not fair, hii sii haki, hii ni some sort of intimidation na udhalilishaji wa kiongozi wa umma mbele ya public ya watu. Hizi intimidations niliwahi kuzizungumza hapa.

Kusema ukweli, kuna vitu rais wetu huwa anavisema, havikupaswa kusemwa na rais, na kuna vitu anavifanya, havikupaswa kufanywa na rais, kama wasaidizi wake mpo, na mnaona, na imejiridhisha he is doing the right thing, hivyo wote tuendelee kumshangilia tuu rais wetu, kwa baadhi yetu sisi ambao ni wakweli daima, tunakua hatujitendei haki nafsi zetu, hivyo mwisho wa uwezo wetu ni kusema tuu, kwa sababu hizi bullying na intimidations kwenye mambo madogo zikiachwa, mbele ya safari tutakushuhudia makubwa zaidi, tukidhani ndio kumsaidia rais wetu kumbe tunamchoresha!.

Tumbua Tumbua, Ziara za Kushutukiza na Utoaji Nje Siri za Serikali.
Niliwahi kupinga utekelezaji wa baadhi ya Tumbua tumbua, na kulalamikia double standards. Kwenye ziara za kushtukiza, nikasema ni intimidating, hivyo kutajenga nidhamu ya woga, lakini pia nikapinga hii ya rais kusema chochote hata vitu ambavyo hakupaswa kusema kama disclosure of tapping telephone conversations, au kuwaanika secret agents etc, nilishauri

Marais Wengine Hufanya Vipi?.
Nikiwa ripota wa newsroom, nimewahi kushiriki ziara nyingi za rais za ndani ya nchi na nje ya nchi. Wakati rais akifanya ziara popote, wahusika wote watakaohusiana na ziara hiyo huarifiwa. Rais akiishawasili hufanyiwa briefing, na kila jioni hufanya postmortem, hivyo kuna mambo mengine ni mambo ya ndani kuuliza kule kwenye briefings, na sio kila kitu kuuliza mbele ya kadamnasi ya watu, huu ni udhalilishaji na kuaibishana.

A Way Forward:
Kwa vile rais wetu pia ni binadamu, naendelea kuwasisitiza wale wasaidizi wake, waendelee kumsaidia rais wetu, kutenganisha the two personalities, kati ya mtu anayeitwa Dr John Pombe Joseph Magufuli, na Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Dr. Magufuli anaweza kuwaza lolote, kufanya lolote popote, au anaweza kusema chochote popote, lakini Rais Magufuli, hawezi kufanya lolote or kusema chochote, he got to do only the right thing at the right time and do it right!.

Namtakia ziara njema.

Paskali

We mayalla acha kutumia akili za sunche na kapeto au za mr Ndumila kuwili ww hata huon acha uzwazwa
 
Sawa, sasa ngoja tuwasiliane na Kenyatta, Mseveni na Kagame ili waweke utaratibu wa marufuku ya Lugha ya kiswahili kutumika kwenye kikao kijacho cha EAC, tuone kama hawatamtumbua mkuu wetu kwa 'broken' atakazomwaga mbele ya kadamnasi!!!
Zakaria ila kweli ww umetwaliwa ki fikra na wazungu kaaaa umesoma kweli ww
 
Basi mtu wako muhimu kwenye maisha ndio atakuwa kanasa kwenye vyeti feki - baba, mama, dada, kaka, mmeo etc
wanaanzaje kunasa kwa mfano?? kwetu kusoma lazima sio swala la hiari.

kutojali maslahi ya wafanyakazi, kupanda kwa gharama za maisha, huduma mbovu katika sekta ya afya, kutoangalia aongee maneno gani kwa wakati gani hayo ni machache tu kati ya mengi, usini -quote tena.
 
Naomba ieleweke kwamba sitetei wakurugenzi wa Bukoba kutumbuliwa kwa sababu sababu za kutenguliwa kwao sizifahamu.

Hoja yangu itajikita jinsi Rais Magufuli, naweza kusema anavyowapelekesha viongozi majukwaani kwa maswali ambayo yanahitaji Takwimu ambazo muda mwingine kiongozi anaweza kutokuwa nazo kichwani

Case Study iliyotokea Bukoba leo sio jambo la kuacha lipite.

Kwa wasiofahamu baadhi ya maswali ya kawaida kabisa wanayoulizwa mawaziri bungeni huandakiwa majibu mapema kabisa kabla ya kusomwa bungeni.

Waziri au mabosi wanapoalikwa kuhojiwa jambo fulani katika interview za vyombo vya habari hupewa area of concentration

Ni viongozi wachache sana wenye uwezo wa "kumeza" takwimu, angalau wakuu wa idara ndio angalau wanakuwa na takwimu

Ikumbukwe pia kwamba hata mgombea mmoja wa urais alituambia Sadam alikuwa rais wa Kuwait. Hata katika mikutano mbalimbali kuna kiongozi alihutubia kwamba awamu ya kwanza ilipoanza bei ya sukari ilikuwa 5000. Mambo ambayo sio kweli. Tukamezea kwa kuna tunaamini kuna kupitia

Hiyo busara itumike viongozi wakubwa wanapowahoji viongozi wa chini hasa mbele ya majukwaa
Mkuu angalia nissan nyeupe isikufuatilie tu.
 
Udikteta ni mfumo wa utawala wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na sheriawala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.
20fb434a356748f8728865f189882878.jpg
 
Kaka Paskali wakati mwingine you need to call a spade a spade, not a big spoon. Mkuu amnakosea every time he opens his mouth to speak. Hata atetewe vipi, sijui ubinadamu sijui yumani fesi, lakini bado hayupo vizuri katika kuongea especially in public. Ni mbabe mbabe kama faru Joni.
Na all these we can trace back katika teuzi zake alizofanya. Akati watu wanalalamika kuwa Mkuu anateua watu wasio na uzoefu na masuala ya halmashauri na jinsi zinavoendeshwa, na kuwa anatoa makada wasio na uzoefu anawqpa majukumu yanahotaji uzefu, walalamikaji walibezwa na kupuuzwa. Haya ndo matokeo yake.
Mimi nafanya kazi kampuni binafsi, huwa tunahitaji data nyingi kutoka halmashauri, jamani maDED na na DC ni empty headed badi unashangaa hawa watu wanfanya nini huku. Kwa hyo we have to admit mkuu anakosea sanaaa.. Hakuna cha kumteyra eti ni binadamu sijui wala nini, kina JK hawakuwa binadamu...
Vitu vingine vinaudhi sana
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri kuunga mkono kwa dhati, juhudi zote na hatua zote zinazochukuliwa na rais Magufuli katika vita dhidi ya rushwa, ufisadi, wizi wa rasilimali zetu na kusimamia uwajibikaji, ila katika utekelezaji wa juhudi hizo, sometimes kunatokea hapa na pale utekelezaji huo ukafanywa ndivyo sivyo, yaani doing the right thing, and the right time, but not doing it right.

Kwa vile rais Magufuli, licha ya kuwa ni mtu anayeitwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, a human being, anaweza kufanya makosa ya kibinaadamu, lakini pia yeye ni taasisi inayoitwa Presidential Institution, taasisi hii ni purported to be perfect, haiwezi kukosea, hivyo rais Magufuli anategemewa kuwa perfect by doing the right thing, at the right time and do it right!. Makosa yoyote madogo madogo ya kibinaadamu, yanaweza kuwa tolerated yakifanywa na mtu mwingine yoyote, but not our president.

Angalia kilichofanyika hapa:

Isn't This Bullying and Intimidation?.
Kwa maoni yangu, this is bullying na intimidation. Kwa rais Magufuli yeye binafsi is very good in numbers, actually I think he is genius kwenye kutunza kumbukumbu za numbers za takwimu, namkumbuka jinsi alipokuwa waziri wa mifugo, kichwani kwake, alikuwa na idadi ya ng'ombe, mbuzi, tena nikasikia kuwa ana hadi idadi ya samaki wetu.

Alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikuwa na figures za urefu wa barabara zote za TANROADS na zimejengwa kwa kiasi gani. Then rais wetu asitegemee kila kiongozi wa umma, atakuwa mzuri kama yeye kwa kukurupushwa tuu na kuulizwa figures, alafu ajibu kutoka kichwani.

Is This Fair?, Huu Sio Udhalilishaji?.
This is not fair, hii sii haki, hii ni some sort of intimidation na udhalilishaji wa kiongozi wa umma mbele ya public ya watu. Hizi intimidations niliwahi kuzizungumza hapa.

Kusema ukweli, kuna vitu rais wetu huwa anavisema, havikupaswa kusemwa na rais, na kuna vitu anavifanya, havikupaswa kufanywa na rais, kama wasaidizi wake mpo, na mnaona, na imejiridhisha he is doing the right thing, hivyo wote tuendelee kumshangilia tuu rais wetu, kwa baadhi yetu sisi ambao ni wakweli daima, tunakua hatujitendei haki nafsi zetu, hivyo mwisho wa uwezo wetu ni kusema tuu, kwa sababu hizi bullying na intimidations kwenye mambo madogo zikiachwa, mbele ya safari tutakushuhudia makubwa zaidi, tukidhani ndio kumsaidia rais wetu kumbe tunamchoresha!.

Tumbua Tumbua, Ziara za Kushutukiza na Utoaji Nje Siri za Serikali.
Niliwahi kupinga utekelezaji wa baadhi ya Tumbua tumbua, na kulalamikia double standards. Kwenye ziara za kushtukiza, nikasema ni intimidating, hivyo kutajenga nidhamu ya woga, lakini pia nikapinga hii ya rais kusema chochote hata vitu ambavyo hakupaswa kusema kama disclosure of tapping telephone conversations, au kuwaanika secret agents etc, nilishauri

Marais Wengine Hufanya Vipi?.
Nikiwa ripota wa newsroom, nimewahi kushiriki ziara nyingi za rais za ndani ya nchi na nje ya nchi. Wakati rais akifanya ziara popote, wahusika wote watakaohusiana na ziara hiyo huarifiwa. Rais akiishawasili hufanyiwa briefing, na kila jioni hufanya postmortem, hivyo kuna mambo mengine ni mambo ya ndani kuuliza kule kwenye briefings, na sio kila kitu kuuliza mbele ya kadamnasi ya watu, huu ni udhalilishaji na kuaibishana.

A Way Forward:
Kwa vile rais wetu pia ni binadamu, naendelea kuwasisitiza wale wasaidizi wake, waendelee kumsaidia rais wetu, kutenganisha the two personalities, kati ya mtu anayeitwa Dr John Pombe Joseph Magufuli, na Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Dr. Magufuli anaweza kuwaza lolote, kufanya lolote popote, au anaweza kusema chochote popote, lakini Rais Magufuli, hawezi kufanya lolote or kusema chochote, he got to do only the right thing at the right time and do it right!.

Namtakia ziara njema.

Paskali

well said! and very objective analysis. Paschal-you are back on the right track.Ulishaanza kuwa kama Lipumba. Good job bravo!
 
Zakaria ila kweli ww umetwaliwa ki fikra na wazungu kaaaa umesoma kweli ww
Usisahau kuwa huyu amesoma masomo yake hadi Ph D kwa lugha hiyo, sasa akishindwa kuiongea fluently lugha iliyomkalisha darasani maana yake anastahili kutumbuliwa, hapo hakuna cha kutawaliwa na wazungu wala nini.
 
Hamna namna,, ripoti ya utekelezaji wa mipango na bajeti ya serikali ndiyo kwanza ilikuwa imetoka,, na hao Ded waliohojiwa walionekana wamefanya vizuri sana, sasa lengo la Mkuu ilikuwa ni kuwapa kiki kwani alikwisha ona wako juu sasa wakamuangusha kwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi kabisa kwa mkurugenzi.
 
Kaka Paskali wakati mwingine you need to call a spade a spade, not a big spoon. Mkuu amnakosea every time he opens his mouth to speak. Hata atetewe vipi, sijui ubinadamu sijui yumani fesi, lakini bado hayupo vizuri katika kuongea especially in public. Ni mbabe mbabe kama faru Joni.
Na all these we can trace back katika teuzi zake alizofanya. Akati watu wanalalamika kuwa Mkuu anateua watu wasio na uzoefu na masuala ya halmashauri na jinsi zinavoendeshwa, na kuwa anatoa makada wasio na uzoefu anawqpa majukumu yanahotaji uzefu, walalamikaji walibezwa na kupuuzwa. Haya ndo matokeo yake.
Mimi nafanya kazi kampuni binafsi, huwa tunahitaji data nyingi kutoka halmashauri, jamani maDED na na DC ni empty headed badi unashangaa hawa watu wanfanya nini huku. Kwa hyo we have to admit mkuu anakosea sanaaa.. Hakuna cha kumteyra eti ni binadamu sijui wala nini, kina JK hawakuwa binadamu...
Vitu vingine vinaudhi sana
Mkuuuu andika barua ww kaombe ajira ukafanye ww kam ni empty headed
 
Mimi nadhani Mkurugenz alikosea na pia uwenda Mkuu alikuwa na taarifa zake na uwenda like swali lilikuwa lamdego amuondoe....
Ikumbukwe kuna uwozo mwingi mkuu ameona na sina sh
 
Bwana Pascali. Swali aliloulizwa yule mama mara tatu mfululizo tena kwa kuonywa juu ya majibu yake kwa Rais si swali baya kwa MKURUGENZI.

Haiwezekani mkurugenzi asijue ameletewa pesa kiasi gani kwa ajili ya BARABARA na akiba iliyopo ni kiasi gani.

Mkurugenzi anatakiwa afahamu akiba ya pesa zote alizonazo kila siku. Anatakiwa afahamu mapato na matumizi on daily basis.

Tatizo ni kuteua wakurugenzi ambao hawajawahi fanya kazi serikalini hivyo kutojua nini cha kufanya ofisini. Badala yake anataka mhasibu ndiye amsemee kwa bosi wake kwamba kuna pesa kiasi gani.

Isitoshe, Pesa za Halmashauri hazipo kwenye makundi mengi. Sana sana ni pesa ya barabara, Maji, Afya, Makusanyo ya ndani na miradi mingineyo ya hapa na pale.
Ya hapa na pale ndio kitu. Hivi unahabari kwamba hata mkuu idara wanaweza wasijue exact figure iliyokuwa kwenye akaunti. Jukumu hilo liko kwa wahasibu wao ambao wana taarifa sahihi tena on daily basis.
 
Mbona yeye akiulizwaga maswali mepesi tu na waandishi wa habari, hujiundia swali jingine? Maana anachojibu totally different na swali aliloulizwa!!!!
Awamu hii vikao/mikutano imekuwa mahakama/polis. Hakuna tija yeyote kwa taifa isipokuwa ni cheap popularity kutoka wa masikini!
 
Back
Top Bottom