Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,061
Asante sana Paskali, well said bro!
Wameshindwa kutoa vyeti wapi kwa nani na kwa sab gani?Uwajibikaji Kwa Kosa gani?Kuna Wengine ni Wakuu wa Mikoa Wameshindwa Kutoa Vyeti ..Wamewajibishwa?
Kama Kuna Kosa awajibishwe kwa Namna inayofaa..Ni Mteule wake Huyo..anaweza kumuita Wakati Wowote ..
Naomba kuuliza hivi katika mataifa ya watu walioendelea na kustaarabika, kiongozi unaweza kufanya maamuzi ya kuumiza hisia za wasaidizi wako hadharani na raia wakakushangilia?
Namba wenye majibu wanisaidie.
Kujua idadi ya fedha iliyoletwa ofisini kwako sio kipaji cha kukariri ni umakini tu. Kumbuka aliyejibu swali lile lile kwa ufasaha ni diwani makini. Rais hawezi kuwachukia watendaji aliowateua mwenyewe.Pengine uko Sahihi Mkuu..Ila Pasco amefafanua ..Siyo kila Mtu amejaliwa hicho kipaji..Nika Kama ilivyo kwa Mkuu Phd Lakini Lugha ya Muingereza inampiga chenga (KIPAJI)
Hivi Sasa Dunia nzima Wamejua Mkurugenzi Kashindwa kujibu Swali..Kwa Kuhofia kutoa namba zisizo sahihi..Huku Wengi wakiamini ameshindwa sababu kuna Ubadhirifu..Je ni kweli?
Kama ni Kweli kwanini Rais anashindwa Kumuuliza Mteule wake?..anangoja Mikutano ..!!
Mkuu kama unaendesha Gari ni Kawaida Kusahau Leseni au tuseme ni Uzembe..Lakini ukikamatwa utapewa Muda wa Kuwasilisha Leseni yako..Sisi ni Binadamu Mkuu stroke ..Rais Abadili namna ya Kushughulikia haya Mambo..Aache Chuki na kutafuta Sifa..
Paskali, kama ulivyoandika binadamu si mtimilifu, ni hivyo hivyo, Taasisi pia haiwezi kuwa timilifu kwa kuwa kanuni na taratibu za kuiendesha zimetungwa na binadamu ambaye si timilifu.Wanabodi,
...
Is This Fair?, Huu Sio Udhalilishaji?.
This is not fair, hii sii haki, hii ni some sort of intimidation na udhalilishaji wa kiongozi wa umma mbele ya public ya watu. Hizi intimidations niliwahi kuzizungumza hapa.
....
Paskali
Ndivyo tulivyojibiwa na Mh.Rais..Kama Cheti kingewekwa Hadharani kusingekua na Sintofahamu..Kusoma A haina uhusiano na cheti.
Chukua Tano.Marais Wengine Hufanya Vipi?.
Nikiwa ripota wa newsroom, nimewahi kushiriki ziara nyingi za rais za ndani ya nchi na nje ya nchi. Wakati rais akifanya ziara popote, wahusika wote watakaohusiana na ziara hiyo huarifiwa. Rais akiishawasili hufanyiwa briefing, na kila jioni hufanya postmortem, hivyo kuna mambo mengine ni mambo ya ndani kuuliza kule kwenye briefings, na sio kila kitu kuuliza mbele ya kadamnasi ya watu, huu ni udhalilishaji na kuaibishana.
Alivunga kapona, kumbe duhh ...!sasa kwanini wanamruhusu mgonjwa kutoka? Au aliwazuga amepona!!?
Ukipitia kwa makiiini sana kwenye huu uzi utapata kitu unachokitafutasasa kwanini wanamruhusu mgonjwa kutoka? Au aliwazuga amepona!!?
"Kitu chochote anachouliza raisi ni kikubwa kinatakiwa kuchukuliwa kwa uzito wa juu kabisa, maana yeye ndiyo mwenye maono ya juu kuliko yeyote nchini." Haya ni maneno ya kipuuzi kuliko yote niliyowahi kuyasoma katika mtandao huu tangu nijiunge.Hivi hawa wakurugenzi wanateuliwa kwa vigezo gani?ingekuwa vizuri nafasi hizi ziwe za kuapply na halafu watu wanashinda kwa kuwa interviewed.Hii ya kuteuliwa sometimes mihemuko inatumika kuwapata.
Ila pia huyo mama majibu yake yalikuwa yanataka kumdharirisha Mheshimiwa Raisi kwamba amemuuliza swali ambalo agepaswa kumuuliza DT wake.kwa hiyo ni swali too operational ,yaani siyo strategic kwa ngazi ya DED.hapo ndipo alipochemka Kitu chochote anachoulizwa raisi ni kikubwa kinatakiwa kuchukuliwa kwa uzito wa juu kabisa .maana yeye ndiyo mwenye maona ya juu kuliko yoyote nchini.
Kwa hiyo hilo ni somo kwa viongozi wote usije ukategemea Swali la bosi wako lijibiwe na mtu aliyeko chini yako(subordinate).hiyi ni insubordination
Ni sawa na Pale kamati ya Bunge walipomuita MwenyeKitu chochote anachoulizwa raisi ni kikubwa kinatakiwa kuchukuliwa kwa uzito wa juu kabisa .maana yeye ndiyo mwenye maona ya juu kuliko yoyote nchini.kiti wa board ya UDSM Kwenda dodoma kuhojiwa halafu badala yake Mkandala VC akaenda,kamati ilifanya sahihi kumfukuza.
Mama hakujikanyaga hata kidogo..ila aliyepewa majibu ndio hakupenda.Daaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!
Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!
Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
"Kitu chochote anachouliza raisi ni kikubwa kinatakiwa kuchukuliwa kwa uzito wa juu kabisa, maana yeye ndiyo mwenye maono ya juu kuliko yeyote nchini." Haya ni maneno ya kipuuzi kuliko yote niliyowahi kuyasoma katika mtandao huu tangu nijiunge.
Hivi mtu anapokuwa rais ghafla anakuwa na akili zenye maono kuliko wote nchini?!!! Hivi Magufuli yule mwenye kukurupuka katika maamuzi akiwa Waziri, na ambaye mara nyingi aliwaumiza watu na nchi kwa maamuzi hayo, leo anaweza kuwa ni malaika Gabrieli wa kuwa na maono kuliko Watanzania wote. Hebu tuacheni mzaha. Tumweleze tu ukweli Rais kuwa anawadhalilisha watendaji walio chini ya yake mbele ya umma kama alivyofanya Pascal. Tusimpambe kwa eti yeye ni 'superior', la!!! Kuna vikao vya ndani vya majumuisho ya ziara. Ni mahali pazuri pa kusahihishana ili utendaji uende sawia.
mfano mtu anakupa jukumu la uangalizi wa Banda lake la kuku halafu baada ya muda anakuja kukuuliza wamezaliana kuku wangapi unamjibu kuwa hufahamu idadi yake wakati hilo ndilo jukumu lako la msingi; unafikiri mwenye Banda atachukua hatua gani?Pengine uko Sahihi Mkuu..Ila Pasco amefafanua ..
Siyo kila Mtu amejaliwa hicho kipaji..Nika Kama ilivyo kwa Mkuu Phd Lakini Lugha ya Muingereza inampiga chenga (KIPAJI)
Hivi Sasa Dunia nzima Wamejua Mkurugenzi Kashindwa kujibu Swali.. Kwa Kuhofia kutoa namba zisizo sahihi..Huku Wengi wakiamini ameshindwa sababu kuna Ubadhirifu..Je ni kweli?
Kama ni Kweli kwanini Rais anashindwa Kumuuliza Mteule wake?..anangoja Mikutano ..!!
Mkuu kama unaendesha Gari ni Kawaida Kusahau Leseni au tuseme ni Uzembe..Lakini ukikamatwa utapewa Muda wa Kuwasilisha Leseni yako..Sisi ni Binadamu Mkuu stroke ..Rais Abadili namna ya Kushughulikia haya Mambo..Aache Chuki na kutafuta Sifa..