Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

ELEWA SWALI! Mayalla kauliza ni sawa kwa Mkulu alichokifanya??

sio kwamba DED kakosea au kapatia??

kwani ukitaka kujua makosa ya utendaji wa watu wako ndio mpaka umuulize jukwaani!!

Kwa hiyo tuseme angejibu hicho kiasi ndio asingemtumbua!?
Mkulu alishapewa record ya utendaji wa DED alishajua hamuhitaji, sasa kulikuwa na haja gani ya kudhalilishana pale jukwaani??
Jua kwamba ukiachana na uDED yeye ni mama wa familia.
Kwa maoni yangu huu ni UDHALILISHAJI....
Kwa watendaji wa serikali tena level ya DED maswali ya namna ile ni sehemu ya maisha yake ya kila siku.

Yaani ndani ya vikao vya wakuu wa idara(CMT),kamati za halmashauri,baraza la madiwani,RCC,ziara za mawaziri mbalimbali au ziara za DED kwenda vijijini....haya yote ni mazingira anayokutana nayo na maswali ya papo kwa papo anayokutana nayo daily.

Kushindwa kujibu ni kujidhalilisha,kumdhalilisha mteuzi na kudhalilisha watumishi na wataalamu wote.Zaidi ni kuonesha hujali na wala hujui shida za wananchi na utatuzi wake katika eneo lako la kazi.

Kwa uzoefu wangu hili swali aliloulizwa kuna baadhi ya madereva wa halmashauri yake na makarani wanaweza lijibu straight bila kupepesa jicho.

Je ni sahihi??
Kwa jinsi Tanzania ilivyochelewa kimaendeleo tunahitaji kasi kubwa zaidi ya hii yaani ifike mahali 24/7 ukiitwa mkurugenzi usilale kwa kukabiliana na majukumu yako.

Imagine mkurugenzi huyu kakutana na wawekezaji au wadau wangapi ??katika mazungumzo yake aliweza kuwaelewa?au aliweza kuwaelewesha?

Ni sahihi kilichofanyika kwani pale wote Rais na mtumishi wake walikuwa kwenye ziara ya kikazi na sio kitchen party.
 
Yaani ni kama vile umuulize maxence melo idadi ya members wa JF hadi leo halafu akujibu kuwa ngoja niwasiliane na mods.au akwambie unajua jamvi hili lina majukwaa mengi sana yanayosimamiwa na mods ...!!!
Na endapo Max atashindwa kujibu swali Hilo kwa kuwa tu umemkurupusha na hajapitia recently taarifa za members wapya basi utamdhalilisha kwamba hafai kuwa Kiongozi wa hii forums?
 
Daaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!

Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!

Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
Mama kaweka dini na iman yake mbele kakataa kusema uongo akutaka kutaja figure ya kubaatisha hata rais nae anadanganya kwenye namba idadi ya samaki ivo vibwagizo sio kujua namba hana kumbukumbu mbona alisema alipoingia sukari ilikua elfu 5 je ni kwel hii kuoneana mama wa watu kasema kwel ye anasimamia idara nyingi kwaiyo ni ngumu
 
Kwa watendaji wa serikali tena level ya DED maswali ya namna ile ni sehemu ya maisha yake ya kila siku.

Yaani ndani ya vikao vya wakuu wa idara(CMT),kamati za halmashauri,baraza la madiwani,RCC,ziara za mawaziri mbalimbali au ziara za DED kwenda vijijini....haya yote ni mazingira anayokutana nayo na maswali ya papo kwa papo anayokutana nayo daily.

Kushindwa kujibu ni kujidhalilisha,kumdhalilisha mteuzi na kudhalilisha watumishi na wataalamu wote.Zaidi ni kuonesha hujali na wala hujui shida za wananchi na utatuzi wake katika eneo lako la kazi.

Kwa uzoefu wangu hili swali aliloulizwa kuna baadhi ya madereva wa halmashauri yake na makarani wanaweza lijibu straight bila kupepesa jicho.

Je ni sahihi??
Kwa jinsi Tanzania ilivyochelewa kimaendeleo tunahitaji kasi kubwa zaidi ya hii yaani ifike mahali 24/7 ukiitwa mkurugenzi usilale kwa kukabiliana na majukumu yako.


Imagine mkurugenzi huyu kakutana na wawekezaji au wadau wangapi ??katika mazungumzo yake aliweza kuwaelewa?au aliweza kuwaelewesha?

Ni sahihi kilichofanyika kwani pale wote Rais na mtumishi wake walikuwa kwenye ziara ya kikazi na sio kitchen party.
Jinga loa jingalao ipo siku ... yatakupata uliza faiza foxy
 
Tumbua ,hata note book yeye hana??
Natamani niwe msukuma wa pili kuiongoza nchi hii baada ya Magu, halafu muone ngano itakavyogeuka kuwa dona.
Huwezi kuniambia ujio wa kiongozi Mkubwa wa nchi na ww ni mkurugenzi pale usijue data kama hiyo.
#shabashi#
 
hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani,

Kama ni hivyo.. Safari nchi hii ni ndefu na wala hakuna natija yoyote ile kwa mambo kama haya.

Poleni wakurugenzi
 
Kusema Kweli Si Haki..Mbaya anapoteza na Kazi ..Tunatengeneza Taifa La Watu Waoga..Wasiyo weza Kuhoji..Sababu ya Viongozi Kama Hawa..Rais anahitaji Kubadilika..
Exactly Mkuu.. Haipendezi kwa kweli tabia ya maswali kwa style ile. Uoga utazidi badala ya kupungua sasa.
 
bado sijaelewa sababu za msingi za kuuliza maswali, ikiwa majibu yanafahamika wazi! Kwa upeo wangu nilidhani pesa zimeliwa au zimepotezwa ktk mazingira ya ajabu, lkn baada ya kumsikiliza mstahiki meya , ni wazi pesa zipo au zimetumika ktk kile kilichokusudiwa what was the issue on the pulpit??

Please, naomba tufahamishame what was the aim na objective ya maswali ya kuhusiana na pesa za mfuko wa Bara Bara !

Na swala la pili je nini majukumu ya Mkurugenzi wa manispaa?

a5e11f9bfde3f3c01a610401e693bae2.jpg


I start questioning the motive behind the questioning ? Ni kukosa kujua takwimu au zaidi ya tunachokiona na kukisikia?
Ni baada ya kupata information kuwa Road fund allocation haifanyi yaliyotegemewa na walialocate sehemu yake
 
Labda nimeanza kuwa na matatizo ya masikio maana mi nimesikia kuwa nimewasamehe kwa leo siku nyingine nitafuatilia tena kumbe nimesikia vibaya okey.... Wakaribie tubeti.
 
Mwache afanye kazi yake, hii awamu ni ya kuchapa kazi sio ya mzaha mzaha kama awamu zilizo pita.. kazi ya magufuli inaonekana wazi mungu mbariki azidi kuwa nyoosha watu ili wakae njia kuu.
 
Daaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!

Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!

Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
Mkuu kazi IPI tena ilihali msigwa kashachora barua kama kawaida yake.
 
Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Tofautisha mkurugenzi na Mkuu wa Mkoa wore hao wanamaajukumu tofauti ingawa lengo lao ni Moja la kuhudumia jamii .
 
Back
Top Bottom