Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

DED anapaswa kuwa na full informations za hamlashauri yake, lakini pia siungi mkono ishu ya kuwadhalilisha watumishibwa umma kiasi hicho. Lazima watu waandaliwe ili wajiandae kutoa ripoti kwa mkuu.
 
Kuna msemo wa kilugha kuwa offer ya kichaa hainaga guarantee
 
Kama kawateua yeye kwanin asiwatengue anapoona mambo hayaendi! Afu tunaonena huruma ya kinafiki kama mtu mmoja anasababisha changamoto/matatizo kwa watu wake ina maana huyo mtu aliyepewa dhamana ni bora zaidi kuliko maelfu ya wananchi anaowaongoza?
 
hyo sio point....kwani kama wanafanya kazi na madiwan wa chadema ndio washindwe kujua serikali imewapatia sh ngapi....tatizo lenu uchama umewazidi.
 
Waliokuwa na viherehere vya kuomba madaraka nadhani wanaisoma namba. Angurumapo simba mcheza nani?
 

Kwa majibu yale ni kweli walikua wanashirikiana na Chadema maana hakuna hata bajeti wala kujua kiasi cha fedha zinazoingia au kutoka

Ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…