Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Habari ndugu zangu.

Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa.

Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa kama kidonda. Kinapona baada ya muda kinarudi.

ugonjwa1.jpg
Ugonjwa2.jpg
Ugonjwa3.jpg
 
Nenda hospital ndugu kabla haujasambaa kwenye ngozi laini
 
ndugu hiyo ni kansa ya ngozi wahi hosptal una hali hiyo na bado uko nyumbani?
 
Nenda Regency Kuna madaktari wazuri na wazoefu wa Ngozi
Mimi mwanzo nilizunguka mahospital mengi kutafuta tiba, kuna mmj aliniambia nina kansa ya Damu.
Kumbe ni allegy ya Maji. Kitaalamu inaitwa Aquagenic Urticaria. Na aliniandikiwa dawa nikatibiwa nikapona.
Nahamini hata wewe ukienda pale, Utapata huduma nzuri.
 
Back
Top Bottom