Nenda Regency Kuna madaktari wazuri na wazoefu wa Ngozi
Mimi mwanzo nilizunguka mahospital mengi kutafuta tiba, kuna mmj aliniambia nina kansa ya Damu.
Kumbe ni allegy ya Maji. Kitaalamu inaitwa Aquagenic Urticaria. Na aliniandikiwa dawa nikatibiwa nikapona.
Nahamini hata wewe ukienda pale, Utapata huduma nzuri.