Yaani mimi natamani hata kulia maana huyu jamaa kanikera kupita maelezo kwanini ulete mwanamke nyumbani kwako TF kasema ni kuiabisha familia yako na sijui alikuwa na maana gani mijitu mingine bana inaudhi kweli
wiselady, watu wengine wana sura za mbuzi, we acha tu!
Aisee hii kitu imenifanya nishikwe na hasira ingawa hata sio muhusika
Hahahaha!!! Lol!!!:biggrin1:Mimi ndo hasira zimenipanda kweli kweli yaani natamani nikanyofoe hizo ndundu za huyo jamaa pambafu kabisa
Lakini bacha tusilaumu sana inawezekana huyu dada(wifey) amekaa muda sana bila kuonana na hubby wake ikapelekea yote hayo.....au?
WL yaani unamtetea huyu jamaa siamini???
hana adabu hata punje, mwanaharamu
tena mwana kunuka wa tabia
Once you chop it off all the problems are solved unafikiri atatumia nini tena labda atumie mguu au mkono:biggrin1::biggrin1:
simtetei bana lkn tusimlaumu sana nae ni binadamu ndo maana nikauliza hilo swali yaweza kuwa uvumilivu ulishindikana.....si vema najua:biggrin1:
Mh bacha hutaniwi? Pole
Aksante mwaya kwa kutuletea habari hii.
Sasa naomba nijibu swali lako........huu si uungwana but nimeuliza kama shemeji anajua kama dada yetu anajua kuwa yeye anachakachua nje??
Judith Wambura aliimba wanaume kama mabinti ndo huyu jamaa
simtetei bana lkn tusimlaumu sana nae ni binadamu ndo maana nikauliza hilo swali yaweza kuwa uvumilivu ulishindikana.....si vema najua:biggrin1:
Daaahhh sis
umenikumbusha mbali
akajisemea zake TUWATOFAUTISHAJE HAWA NA MACHANGUDOA...
wewe! watu tuko mbali na wife zetu kwa miaka miwili sasa
alishindwa kuvumilia gani ni mshenzi tu huyo
Huyu jamaa sijui vipiHahahahahsha we zingatia pesa zenyewe za mkopo we unadhani hawara atakubali mguu kweli mmmmhhh....
Huyu jamaa sijui vipi
Hahahaha**** sana huyu jamaa kaniudhi kweli. Suruali tu ndo anaitembeza