afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Yaani mimi natamani hata kulia maana huyu jamaa kanikera kupita maelezo kwanini ulete mwanamke nyumbani kwako TF kasema ni kuiabisha familia yako na sijui alikuwa na maana gani mijitu mingine bana inaudhi kweli
Daahhh hiyo ya kumpeleka nyumbani imezidi dahhhhh kuna watu wamekosa aibu kabisa yaani
kwa vile huyo mama ndio mwenye kazi na fedha mi naona aache kutuma hizo fedha azikusanye arudi nyumbani kutunza familia yake au afanye awezalo kuhamisha familia karibu yake.. hapo sijui nani ndo baba mwenye nyumba...maana mama ndio anaeongoza na kutunza familia...