Je, huu ni wakati sahihi kwa kanisa Katoliki kubadilika na kuendana na kasi ya makanisa ya Kilokole?

Naona katekisa umekuja kuweka msisimtizo..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama umejitenga na kanisa unategemea nini ?
Kama wale wabunge wa VII C wanaoshawishi kuwa Elimu haina maana yoyote, ili hali wanalamika kutopewa fursa ya kuendelea na Elimu kwa kukosa cheti cha kidato cha nne.
 
Hiyo sheria imewekwa na mungu?
 
Hutaweza kubadilisha chochote, unapoteza muda wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…