paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Acha uwoga! Wewe umeona hapa tumeanzisha ugomvi na Nani?Tanzania kwa miaka yote ni nchi ambayo mambo yetu low profile hatuna ugomvi na mtu na kupendwa sehemu nyingi tu maana hatujawahi kutawala vichwa vya habari kwa ubaya.
Ila kwa sasa nadhani kama tumechoka hivi kiko tunachotafuta na tutakipata. Kuna wakati nadhani sisi ni muhimu sana hatuhitaji mtu.
Tuache mabeberu nadhani hata jirani zetu wa karibu wanatuangalia na jicho la mashaka. Hivi tutagombana na wangapi? hii nchi haina washauri?
CCM hawana vikao vyao vya ndani na kupima haya kisiasa na kiuchumi na kufanya maamuzi sahihi? au kuna uwoga umetawala watu.
Siku unajigamba tajiri siku unaomba usamehewe deni, siku hakuna corona, siku tuanze kujifukiza siku 3.