Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Wanabodi.
Kuna wizi wa pesa unafanywa na Vodacom kupitia huduma yao ya MPESA.
Ukiwa unanunua LUKU, hela kwenye account yako inakatwa lakini TOKEN ya LUKU hupati. Ukijaribu kuwapigia "Customer Care" wanakujibu kwamba kuna tatizo kwenye mfumo wa MPESA, na unapaswa kusubiri kwa muda wa masaa 24 ili hela yako ipate kurudi. UTASUBIRI milele, hakuna pesa inayorudi. Ukiwapigia baada ya masaa 24, unaambiwa endelea kusubiri.
Ukiambisha pesa kwenye mitandao mingine nayo kero ni hiyo hiyo.
Nawashauri muwe makini!!