wizi wa pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mapato yanayotokana na mgodi uliopo Mwime hayajawahi kuwasilishwa

    Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za mapato yanayotokana na mgodi uliopo katika eneo letu. Wananchi tunaeleza kuwa kila duara linalofika...
  2. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Siyo urafi/uroho wa madaraka, ni wizi wa pesa za umma kwa miradi ya familia

    Kwa lugha lainishi kuna hadithi kwamba viongozi ni warafi wa madaraka ndo maana hawataki kuachia nafasi. Mimi nasema HAPANA! Siyo madaraka, tatizo kubwa ni wizi wa pesa na mali ya umma uliofanywa na unaofanywa na viongozi wa CCM. Mawaziri wamekuwa ni wezi wa mali ya umma, Rais ni mwizi wa mali...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania M-PESA sio salama kabisa? Wakala anawezaje kuiba pesa ambayo tayari imeingia kwenye simu

    Naomba ufafanuzi wa hili jambo maana kama iko hivi pesa zetu haziko salama Hoja: Nilikwenda kwa wakala hapa mbezi mwisho nikalipa pesa kwa wakala na akanitumia pesa na nikaona muamala kabisaa pamoja na sms hiyo ikaja nikajua pesa tayari ile najaribu kununua bando ikasema pesa hakuna tukamfata...
  4. Nkuba25

    JamiiForums Tanzania KERO Je, huu ni wizi? Mpesa hawarudishi pesa inayokatwa baada ya kushindwa kupata huduma

    Wanabodi. Kuna wizi wa pesa unafanywa na Vodacom kupitia huduma yao ya MPESA. Ukiwa unanunua LUKU, hela kwenye account yako inakatwa lakini TOKEN ya LUKU hupati. Ukijaribu kuwapigia "Customer Care" wanakujibu kwamba kuna tatizo kwenye mfumo wa MPESA, na unapaswa kusubiri kwa muda wa masaa 24...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Daah sijui kwanini vibaka wa stendi ya Magufuli wanapenda kunionea hivi yaani hii ni mara ya tatu kunifanyia hivi wakuu yaani pamoja na kuwa kwenye gari langu la IST na pamoja na kulock mlango wa gari bado nikaibiwa wakuu sijui hawa jamaa daaah! Wakati namsindikiza wife alikuwa anaenda kwao...
Back
Top Bottom