USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Naomba ufafanuzi wa hili jambo maana kama iko hivi pesa zetu haziko salama
Hoja:
Nilikwenda kwa wakala hapa mbezi mwisho nikalipa pesa kwa wakala na akanitumia pesa na nikaona muamala kabisaa pamoja na sms hiyo ikaja nikajua pesa tayari ile najaribu kununua bando ikasema pesa hakuna tukamfata wakala akasema ametuma na salio limekuja kikawa kizaazaa pale.
Watu wakaja kusuluhisha na yeye akahakikisha kuwa pesa haikutokana kwangu ila sms ya muamala ipo kwenye simu yangu tena ya m-pesa yenyewe kabisaa
Mimi nikabaki na maswali;
1. Hii line ni mpya na haidaiwi wala haijulikani kwa nini litokee hili?
2. Je wakala ni tapeli wa mtandao ameniibia kwa maana ameingia pesa na kuicancel.
3. Je usalama wa pesa zangu kama nitaweka kwenye line hii tena?
4. Vipi watanzania wangapi wanafanyiwa mchezo huu?
5. Je nyie vodacom umelijua hili na mko kimya?
6. Kama hamjui ni wateje wangapi waliotapeliwa pesa nyingi na wanawalaumu nyie na mnaweza kukosa uaminifu?