M-PESA sio salama kabisa? Wakala anawezaje kuiba pesa ambayo tayari imeingia kwenye simu

M-PESA sio salama kabisa? Wakala anawezaje kuiba pesa ambayo tayari imeingia kwenye simu

Saa nyingine tunakimbilia kulalamika mitandaoni bila kuchukua hatua sahihi.
Uliwapigia Vodacom huduma kwa wateja wakakupa maelezo pesa iliingia kweli na imeenda wapi?
Umewauliza utarudishiwaje pesa yako?
👍
 
Mtandao bora na rahsi kutumia hapa nchini ni AIRTEL na mtandao wa uhakika kwa ajili ya pesa zako ni AIRTEL MONEY pekee,kwingine huko endeleeni kuibiwa.
 
Back
Top Bottom