Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
CCM mnaibia mabilioni ya pesa Watanzania kila siku, ninyi mkiibiwa BUKU tu malalamiko kila kona. Ajabu sana.
Huwezi kuelewa Non-Euclidian geometry kwa kutumia kanuni za Euclidian geometry
WapiHuwezi kuelewa Non-Euclidian geometry kwa kutumia kanuni za Euclidian geometry.
Popote.Wapi
Ustaadh. Usumbufu wote huo kwa ajili ya buku? Hata wapare hawawezi kufuatilia kesi ya buku kwa kuacha shughulu zao na kuparamia madaladala hadi vodashop kisa buku.NENDA VODASHOP WAKUPATIE STATEMENT HARD COPY KUANZIA TAREHE 1 Had 16 mwezi 9-2025..uangalie miamala iliyoingia na kutoka ndo uanzie hapo ukiona kunautofauti kama huo nenda tena kwa hyo wakala mwambie akibisha nenda karipoti kituo cha police aje ajibie hilo.
Wapare unawajua au unawasikia??mkuu hiyo SI ni buku TU? mbona makasiriko Kwa sana
sio kweli, nimefanya kazi na wapare akipoteza miambili itatafutwa hadi ipatikane..akiwa anakudai hamsini asubuh anamkia kwako sebumbuse elfumoja?Ustaadh. Usumbufu wote huo kwa ajili ya buku? Hata wapare hawawezi kufuatilia kesi ya buku kwa kuacha shughulu zao na kuparamia madaladala hadi vodashop kisa buku.
Kaitumia kisha anasahau kama aliitumiaDaah sio powa..
Kaweka chap na kujiunga bando....
Hujambo lkn miss chugga ?
Mzima pia ...!Kaitumia kisha anasahau kama aliitumia
Au alisongesha
Mimi mzima. Hofu kwako..
huendq ameuzq na mbuzi labisa ili buku ipatikaneWapare unawajua au unawasikia??
Hapo kaweka bundle la buku tano kufuatilia buku.
Ninachowapendea wapare ni binti zao. Ukioa mpare ujue huyo ni wako mpaka kufa. Ndoa ya mke wa kipare haivunjiki kama huamini waulize wanaume wa kigita.huendq ameuzq na mbuzi labisa ili buku ipatikane
Laini mpya hupewi madeni kama mmiliki wa kwana alikopa na ndio maana huikuti hata sentKuna pahala umesema laini ni mpya mimi nikawaza hivi
Yawezekana kuna mteja aliwahi kutumia hiyo lain akaikopea hakulipa akaibwaga ndio umekuja kupewa wewe.
Kwa sababu ya hiyo case moja?Huu mtandao ndio ninao uamini Leo nao umesha Anza kuzingua
Humu ni bora kuleta habari iliyokutokea na kwa ushahidi kama mtoa mada sio habafi za kuam iwa na mtu ilo kichafua brand za watu bila ushahidi ,unajuaje kama huyo demu kakudanganya ili umtumie helaHali ya usalama wa pesa kweny mtanda ipo taabani..kuna dem jana kanambia alienda kweny hiz fahar huduma kutoa hela..akaambiwa balance ya hicho kiasi haitoshi....jana katoa kiasi cha chin kabisa ikatoka...kuja kuangalia salio laki mbili haipo...hapo ndo anajiuliza...je ni crdb wamepita nayo au wakala alifanya namna akatoa hela ila akadanganya hana balanc?..mbaya zaid hayo alifanyia Arusha na hyo siku kasafir kurud mwanza...
Hakufuatilia statements?Hali ya usalama wa pesa kweny mtanda ipo taabani..kuna dem jana kanambia alienda kweny hiz fahar huduma kutoa hela..akaambiwa balance ya hicho kiasi haitoshi....jana katoa kiasi cha chin kabisa ikatoka...kuja kuangalia salio laki mbili haipo...hapo ndo anajiuliza...je ni crdb wamepita nayo au wakala alifanya namna akatoa hela ila akadanganya hana balanc?..mbaya zaid hayo alifanyia Arusha na hyo siku kasafir kurud mwanza...