😂Vodacam hamejitahidi sana huduma zao hazina wezi sana
Kuna hawa Airtel Tanzania, wee wana wafanyakazi waizi kinoma
Vodacam hamejitahidi sana huduma zao hazina wezi sana
Kuna hawa Airtel Tanzania, wee wana wafanyakazi waizi kinoma
Utaipata tu,VODACOM ni wezi sana, jana customer care (100) wananiambia, hela yako itarudi baada ya masaa 24, leo wanasema "kuna tatizo la kiufundi" na hapo ukituma hela imekwenda.
Sasa kama wana matatizo ya kiufundi si wasimamishe hiyo huduma ya MPESA kuliko kuendelea kuiba hela za wateja?
Sio hao tu, watoa huduma wote wanafanya hivyo sasa.Wanabodi.
Kuna wizi wa pesa unafanywa na Vodacom kupitia huduma yao ya MPESA.
Ukiwa unanunua LUKU, hela kwenye account yako inakatwa lakini TOKEN ya LUKU hupati. Ukijaribu kuwapigia "Customer Care" wanakujibu kwamba kuna tatizo kwenye mfumo wa MPESA, na unapaswa kusubiri kwa muda wa masaa 24 ili hela yako ipate kurudi. UTASUBIRI milele, hakuna pesa inayorudi. Ukiwapigia baada ya masaa 24, unaambiwa endelea kusubiri.
Ukiambisha pesa kwenye mitandao mingine nayo kero ni hiyo hiyo.
Nawashauri muwe makini!!
Security issues baada ya wewe kunikata pesa zangu, kujilipa kwa huduma ambayo haijatimia kisha mimi kuniweka pending ukae na pesa zangu weeks uku wewe ukila maisha na tozo ulizonikata?hilo sio kweli pesa isirudi labda ungeniambia imechelewa kurudi kuliko ulivyotegemea au walivyokuambia
ila WAUNGWANA mngejua wala msingekuwa mnaita haya MAKAMPUNI ni wezi
zaidi mngekuwa mnafanya SUBIRA
7BU ukiona muamala umetuma halafu ukashindwa kufika au ukaishia njiani jua ni TATIZO LA KIUFUNDI na haswa Ni SECURITY issue so VODA or TIGO wame ABORTED TRANSACTIONT kwa usalama wa VODA na fedha zako kwa ujumla
hawa jamaa usione hivi wanapambana sana kuhakikisha MIAMALA na FEDHA ZENU zinakuwa salama
so ukipata TATIZO hvyo inapaswa kuwa mvumilivu
hawa wahudumu wanakuwa READ ONLY tu
ila hawawezi fanya chochote 7bu wao pia upokea taarifa kutoka kwa mafundi hvyo inapaswa kuwa mvumilivu
unachotakiwa kufahamu hizo ni PESA na zinahitajika UMAKINI kuhakikisha zinakuwa salama
Alaa! Wasimamishe huduma ya mpesa kwa ajili muumala wako wa luku umekwenda sivyo ndivyo? Ubinafsi haufai.VODACOM ni wezi sana, jana customer care (100) wananiambia, hela yako itarudi baada ya masaa 24, leo wanasema "kuna tatizo la kiufundi" na hapo ukituma hela imekwenda.
Sasa kama wana matatizo ya kiufundi si wasimamishe hiyo huduma ya MPESA kuliko kuendelea kuiba hela za wateja?