Mr connecter
Member
- Jul 13, 2023
- 16
- 4
Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms
mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia.ila sasa vigezo vya kuendelea na masomo anatakiwa asifeli ata somo moja na apete division 1,2 au 3
ila sasa nimesikia kwamba hua Kuna msamaha wa katibu mkuu wa bodi ya uwalimu kuhusu kwa hawa watoto waliopata division three na kushindwa mtihani mmoja huwa wanaenda mwaka wa tatu. Nakijana wangu anajituma kwa kweli kwenye masomo Ila ana shida ya kupoteza kumbukumbu na huwa anatumia dawa.
Naomba kuuliza kuhusu huu msamaha wa katibu mkuu kwa mwaka huu upo?
Na website yao ni ipi wanapo tangaza kuhusu taalifa hizi official?
Na tarehe ipi hutolewa wanachuo hao kwendelea na masomo yao chuoni?
MSAADA WENU WAKUU