Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Huu uzi hakuna hata mjuzi mmoja ?
Inawezekana umekuwa banned ndo maana inakataa, ama storage ya sim imejaa, Uninstall hiyo app kisha download upya chagua version nyengine
 
Inawezekana umekuwa banned ndo maana inakataa, ama storage ya sim imejaa, Uninstall hiyo app kisha download upya chagua version nyengine
Simu haijajaa
Naomba weka Apk ya latest version hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…