Mara nyingi tatizo moja linapotatuliwa, lingine linaibuka.
Whatsapp imekuja kutatua tatizo la kimawasiliano, ila imekuja na matatizo yake, kama:
- watu kuchunguzana/kufatiliana maisha
- marafiki kupigana vijembe indirectly kwa kuweka status zenye maneno ya shombo.
- kuongeza stress. kwa mfano mtu yupo online hakujibu text yako. mtu amekwambia yupo bize na kazi halafu unamkuta online. mtu amekwambia good nyt ila unamkuta online. mtu wako kumuweka status rafiki yake wa jinsia tofauti halafu anaweka vikopakopa. visa kama hivi vinaleta msongo wa mawazo.
kwa kifupi social media zimeleta emotional disturbances kwa binadamu.