Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Mi wasap mwaka wa 3 huu sina, wakati natumia wasap gb au fm nilikua naangalia za dada yangu na mama yangu tuuu, nyingn siangaliii.
Niliacha kuangalia za wengine baada ya kuona mwanaume anaweka picha status karibia 10 hiv na mdada anaweka karibu 15 hiv hlf mwanaume anakuuliza kama umeona status aliyoweka. Mdada naye anakutumia msg "mbn huangaliii status zangu na wasap unaingia kila mda?" Nikaona isiwe kesi, hakuna kuona za kwao jumla
Aisee
 
Wana JF hawana mda na status wao wanashinda huku jukwaani kushiriki na kusoma mijadala mbali mbali
 
Inasaidia kuepusha lawama, Kuna watu huwa wanalalamika kwamba nakuona tu "unaview status zangu ila hata kucomment chochote hakuna" au hata salamu" eti wanataka ukiview status ucomment pia aargh , so it's better ukaview tu kimya kimya yani[emoji3][emoji3]
Aisee.
 
Mara nyingi tatizo moja linapotatuliwa, lingine linaibuka.

Whatsapp imekuja kutatua tatizo la kimawasiliano, ila imekuja na matatizo yake, kama:

- watu kuchunguzana/kufatiliana maisha

- marafiki kupigana vijembe indirectly kwa kuweka status zenye maneno ya shombo.

- kuongeza stress. kwa mfano mtu yupo online hakujibu text yako. mtu amekwambia yupo bize na kazi halafu unamkuta online. mtu amekwambia good nyt ila unamkuta online. mtu wako kumuweka status rafiki yake wa jinsia tofauti halafu anaweka vikopakopa. visa kama hivi vinaleta msongo wa mawazo.

kwa kifupi social media zimeleta emotional disturbances kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom