Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Kabisa hayo mambo utoto tu
Sasa mtu unahide last seen kwanini?
Kuview status kimya kimya...
Sasa kama umeview ushaview tu hata ujifiche kiasi gani ukweli unabaki palepale

Ku hide last seen ni kawaida maana uki hide ata wewe za watu wengine hutaziona

Mfano unapo hide last seen unaepuka maswali yasiyokuwa na msingi mfano unaweza kuamua kutojibu text ya mtu yeye akajua hujajibu kwa kuwa hujaingia online...( hapo si shida) ila ukiweka last seen anaona umeingia muda sio mrefu why hujajibu text sasa hapo ndio shida inapoanza ni bora abaki dilema asijue kama umeingia online au hujaingia kwa kutoona last seen yako

Kuna watu wengine hujisikia vibaya wasipojibiwa text zao alafu kibaya zaidi ajue umetoka online muda sio mrefu

Me binafsi last seen nimeondoa sioni last za watu wala wao hawaoni zangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uko sahihi, last seen yangu iko off siku zote kwa sababu ya ishu kama hizo.
 
Daaah kunae manzi mmoko anawekaga status zaidi ya 100 kwa siku,yaani unaona mstari mrefu alaf unavidoti vidogovidogo kinyama daah!!huyu waga na'skip chapcheree
 
Back
Top Bottom