Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Anatuonesha ili tumuongezee nini?Kwani kuyajua maisha ya mtu kunakupunguzia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuonesha ili tumuongezee nini?Kwani kuyajua maisha ya mtu kunakupunguzia nini
Nachojua kuangalia au kutoangalia status ya mtu sio lazima.
kwema joanah, napenda comment zako!Wapo wawili mmoja shabiki wa Liverpool na mwingine wa Chelsea
Wanajua kuumiza hawa maboya aseee!
Yaaaaani wao wakishinda badala ya kufurahia ushindi wao,wanachofanya ni kutuattack sisi....nimemute status zao muda sana
Mwaka wa nne huu natumia haijawahi nitokea hiyo.....sijui wewe huwa unakwama wapiMadhara ya modded APK.. mfano hizo Clone za GB Yo and Fm WhatsApp..
Ni kwamba utaitumia vzr.. ikisha expire.. kuna 59% ya ku win kufanya update au ukafeli ingawa update umefanya
Nikisema kufeli namaanisha unaweza install new update ktk system WhatsApp ikafunguka vzr tuu ila MAGROUP yote unakuwa Ume LEFT... yaan ina delete account yako mazima so ukifany update inaanza Upya.
Beware
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa read receipt hautaonekanaDuh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.
Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??
Mwaka wa nne huu natumia haijawahi nitokea hiyo.....sijui wewe huwa unakwama wapi
Mimi natumia WhatsApp Plus lakini ambayo ukiingia playstore na kutaka kudownload whatsapp official inaonekana tayari ipo installed kwenye simu yako
Ndiyo umekuja huku boss unataka uwe unanichungulia kimya kimya?Sasa nafanyaje, Kuna mtu natamani niwe naview status zake kimya kimya 🤷♂️
Ulichoongea ni cha kweli.....ila mimi haijawahi kunitokea tangu nianze kutumia whatsapp plus
kwema joanah, napenda comment zako!
Hahaa, ndyo hivo mwendo wa kimya kimya sahivi sitaki kesiiNdiyo umekuja huku boss unataka uwe unanichungulia kimya kimya?
Ndio ukubwa huoKuna ex wangu anaposti vijembe plus kumpost bwana ake mpya ila na view kama kawaida.
Hanikomoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yah Kama unatumia gb au fm kwenye setting yake kuna kuhide hivyo una view kimyakimya bila mwenye nayo kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
GB whatsapp Inaitwa FMWHATSAPP 2 siku hizi. So kama bado hujapata msaada bofya hapa kupata latest one FMWA 2 APK - GBMOD.NETMkuu kama unauzoefu na WhatsApp gb nisaidie sababu ninayoitumia inataka update na nimeenda playstore hawana Google na wao hawana...msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umenichokaHahaa, ndyo hivo mwendo wa kimya kimya sahivi sitaki kesii